Sina haja ya kukufahamu,hizo swaga za do you know me ni za kizamani wewe mbwiga
Ati nitalia? Do you know me? Do you know what I went through? Wacha kuandika pumba ''kila ndege huruka kwa mbawa zake.''
Huna ubavu huo wewe mnyama wa SerengetiHizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.
Mbona tayari!!Huyo aliyefanya hiyo kazi asubiri cheo
Jr[emoji769]
Umesikia maelezo ya bulaya nayeAcheni kuongelea mambo msioyaelewa halima na wenzake walivunja sheria ya magereza wanastahili walichopewa kwa taratibu za magereza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wengine huwa mercenaries
Thubutu kitu hicho kutumika kwa sababu ys uhuni wa viongozi wanaotafuta umaarufu wa kisiasa. Na hao wanaoshiriki ni wapumbavu na malofa.Mzaha mzaha ya namna hii kuna siku watamuua kiongozi mwenye ushawishi nchi inalipuka!
Huna ubavu huo wewe mnyama wa Serengeti