Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Mkuu nakuombea yakukute ya namna hiyo,ili uje uongee tena upuuzi kama huo,na lazima yakukute tu
Hayawezi kumkuta kwasababu kwa maelezo aliyotoa hapo juu yeye hawezi kuvunja sheria za nchi,wanaokumbana na mambo ya hivyo ni watu wajinga wajinga na wapenda sifa kama kina Mdee na wenzake wapiga ganja.

macson
 
Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu wewe, maCCM kweli ni chama cha mauaji.
 
Hawa washenzi nadhani walitumwa kwenda kutorosha waharifu wengine kule,hivyo Mbowe ilikua ni sababu tu ya wao kufika pale. Wafunguliwe mashtaka ya uvamizi wa gereza na nia ovu ya kutaka kutorosha wafungwa.

macson
 
Attachments

  • FB_IMG_1584512051906.jpg
    FB_IMG_1584512051906.jpg
    54.6 KB · Views: 10
Ila huyu dada hata sijawahi kumuelewa huku kwenye jimbo lake sijawahi kumuona kabisa akifanya shughuli za jimbon kwake zaidi ya makelele tu mara mahakaman yaan sie wenyewe wakazi wa jimbon kwake hatumfahamu vizuri sasa zaid ya kila siku kesi mara kasimamishwa bungeni , baadae asitulaumu
 
Najiuliza imewezekanaje mtu aliyeanza vizuri kwa kuacha sherehe na kuelekeza fedha hospitalini, na kwa sala nyingi, kugeuka namna hii? Anajisikiaje anapowaona wabunge na viongozi waandamizi ambao ni wanawake wamelazwa na majeraha makubwa baada ya kupigwa na serikali yake? Ni amri yake? Ni yeye ameigeuza nchi kuwa ya vilio hivi au kuna wengine?

These MPs are not abstract figures. Wakiumizwa tunaumia sisi Watanzania wengi tunaoongozwa nao na tunaowafahamu. Kwa mfano, Halima Mdee sio kwamba ni Mbunge wangu tu, ni pia mtoto wa rafiki yangu. Nilisoma na marehemu baba yake UDSM, na kuanza kufundisha Mlimani naye wakati mmoja. Sasa namwona amelazwa, baada ya kupigwa na serikali ya Magufuli. Magufuli yule yule ambaye mwanzoni nilimwamini sana, na kuandika humu kwamba God might have not given us what we wanted but He has given us what we needed.

Nani atatuondelea aibu hii ya Wabunge, tena wanawake, kupigwa kama mbwa na watumishi wa serikali? Watu kama Bashiru ambao mwanzoni tulidhani ni wasomi wenye heshima zao wamebadilika na kuwa watesi wa wananchi? Wako wapi Marais Wastaafu? Mbona wamekaa kimya wakati unyama unatamalaki nchini? Wameogopa kuambiwa wanawashwawashwa?

Tutatokaje kwenye hali hii? Hatma ya Tanzania ikoje?
 
hiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??

Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Uwe mfano au la..!! The issue is, kama wamemvua, haipo sawa.... Yaani kwa hili, uwe mwana CCM au siyo mwanaCCM, si sawa... Siamini kama CCM toka moyoni mnafurahia jambo hili
 
Back
Top Bottom