mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,468
- 6,022
Wewe mbwa koko wa kotas utaingia kwenye 18 Siku si nyingi. Sasa tunamfahamu Casian aliyempiga mtama bulaya. Jeshi usu la kanda maalum liko kazini subirini kidogoah kumbe ni vijifupa vya mkono tu nndio vimevunjika! Mie nilijua ni vya shingo kabisa! Wakome kupeleka siasa kwa wazee wa kazi! Siku nyingine haitakuwa mkono, itakuwa shingo! Hizo siasa za fujo na mihemko hazijawahi kumwacha mtu salama! Asiyefunzwa na mama-e hufunzwa na mabingwa wa magereza! Kihelehele tu eti tukampokee bingwa, eeh mmepata kipigo cha mabingwa wenyewe sio feki na sasa mmetulia!