akili maki
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 238
- 206
Ukimuona mbwa yuko juu ya mti ujue kapandishwa,huyo lazima atapandishwa cheo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuaga anawashika wap?Japo ana mapungufu ila JK alikuaga ana akili sana, yaani anawaacha msemeee we ye anajua atawashika wapi.
Ukifungua macho vizuri utaona kuwa moja ni front elevation na nyingine ni end elevation kitu kile kilehiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Hivi kina Polepole nao walizuiwa na hao magereza walipoenda kumchukua yule msukule wao? Au hata pale walipotaka kumchukua Msigwa???Hii vita iko serious . Nilijua wamemvunja mdomo mbn hawajafanya kitu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe acha umbeahiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii
Lazima nilipe kisasi najua cha kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
so what ?X Rey inaonyesha mikono yote imevunjia, taarifa inasema mkono mmoja
Pole Haima Mdee.
Awali ya yote, mimi sio sehemu ya wanasiasa!na yeye mdee kwani alipoambiwa acha hakuacha? bangi zilikutana. unajua kabisa wananguvu zaidi yako, bado unataka kushindana nao. wewe ni mpumbavu. kwanini usitumie mbinu mbadala kupata mnachotaka?
hivyo vihela vya wahuni wenzenu kwa kisingizio cha denokrasia ndo vinawatesa. wapumbavu mnapambanishwa na dola halafu mnatarajia ushindi.
vipi venezuela walishinda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi waliofanya unyama huu ni polisi au askari magereza?
Sawa wababe nyieeeeehiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??