Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Tanzania hatuna wapinzani ila ni vikundi vya wahuni wahuni wenye maslahi binafsi.Sisi hapa hatuna polisi. Wengi wanafanya kazi kama genge la wahuni na wahalifu. Polisi wetu hawa wanaweza kukukamata hata wewe, alimradi mkubwa fulani ulipishana naye. Usishabikie. Majeshi ya namna hii, katika ulimwengu wa leo yanazidi kupotea.
Tembelea mataifa mengine, uone Polisi wanavyofanya kazi kwa kutumia akili na weledi. Siyo hawa wa kwetu ambao kila mara wanaamini kuwa Polisi ni kutembea na rungu.