Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Wewe unafurahia ndio maana umeona haitoshi,wangemkata kabisa mkono!Hakuna anayefurahia ila kutii sheria bila shuruti ni muhimu sana.
Wewe unafurahia ndio maana umeona haitoshi,wangemkata kabisa mkono!Hakuna anayefurahia ila kutii sheria bila shuruti ni muhimu sana.
Na ndiyo maana hao wadudu wenu mliokuwa mnashirikiana nao wali restishwa in peace wote na wazalendo mnaowadhihaki na inaonekana kina ZZK walikuwa wafadhili, ila hichi kichapo hawatokisahau hao marehemu.Endeleeni kuligawa taifa kwa nguvu zote!Ipo siku mtajutia uovu wenu,kwa kauli kama hizi ndio maana watu walikuwa wakifurahia kila wakisikia kibiti kuna panya wa CCM amezimishwa!
Hapo umefurahi eeh?Ndo maana mafunzo na mazoezi yao yanahusisha nguvu... Yaani kicheche mmoja kashiba KANDE anakwenda kutikisa Geti LA Gereza..!!? Wallah alistahili kuzimishwa kabisa. Shwain
Sifurahii, ila mtu kama analeta mzaha, dharau kwa vyombo vyetu vya ulinzi, wao kwa nafasi zao ilikuwa muhimu kufuata sheria na kikubwa kama waliambiwa watoke, walipaswa kutii sheria, kama kulikuwa na jambo wangeenda hata kuongea na mkuu wa jeshi. Sasa mfano wanasema walipekuliwa na wanalalamika wakati huwa kitu cha kawaida.Wewe unafurahia ndio maana umeona haitoshi,wangemkata kabisa mkono!
Natamani yale majamaa ya kibiti yarejee yatusaidie kulipa kisasi kama kipindi kile!Hatujawahi sikia mwanaharakati anavamia vyombo vya Dola.....just in Tz.
Mwanaharakati ashughulike na akili za Nyumbu siyo majeshi yetu. Kuna siku tutawatoa vizazi
wee kiumbe wewe mapepo hayajakutoka yote, si tumekuombea asubuhi tuu mbona akili za kipepo hazijakutoka sasaAkitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Nimekutumia PDF yenye user manual ya akili zako ili uzitumie vizuri hivyo jitahidi kuisoma sawaKi Halima kina asili ya ukiherehere, yaani unakuta waliambiwa muondoke wao wakajifanya wanaenda kuwashawishi wajeda kitu ambacho jeshi huwa lina amri tu. Mwache akome ajifunze huyu bidada, na hapo wamfugulie mashitaka afungwe tena mbuyuyu mkubwa
Ni wale wale tu, iwe polisi au askari magereza. Hata tabia zao zinafanana.Una uhakika walikuwa Polisi?
Chapa kabisa mbuyuyu hao, unaendesha uana harakati eneo la jeshiNimekutumia PDF yenye user manual ya akili zako ili uzitumie vizuri hivyo jitahidi kuisoma sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wale wale tu, iwe polisi au askari magereza. Hata tabia zao zinafanana.
Wenyewe wanajiita "jeshi". Nadhani hili neno jeshi linawainua kisaikolojia na wao wajione ni moja ya vyombo muhimu vya dola. Na hapo ndipo kiburi kinapochipuka!
Hawa watu wanaojiita "jeshi" ni tatizo. Ni tatizo kubwa mno! Na sijui kwanini wanajiita jeshi! Siasa tupu!
Kuna haja ya kubadilisha jina tukawaita "police service" badala ya police force!
Hii polisi force au "jeshi" ni majina mabaya sana yanaleta impunity! Ni majina yaliyoasisiwa na wakoloni kwa malengo ya kuwaadabisha watu weusi waliothubutu kuleta fyoko fyoko dhidi ya dola la malkia!
Eti police force! mara sijui field force! Force ya kwenda wapi!?
Watanzania ni watu huru wanaohitaji kuwa huru na kufurahia nchi yao! Hawataki kuburuzwa na hizi zinazoitwa forces!
Kujiita "jeshi" inaashiria hata wao hawajiamini. Ndio maana wamekimbilia kuvaa koti la jeshi wakati kimsingi wao ni mapolisi!
Mbona hauwasemi Magereza ambao ndio wamemvunja mkono mwenzako unalazimisha Polisi tu, sijui wamekufanya nnKujiita "jeshi" inaashiria hata wao hawajiamini. Ndio maana wamekimbilia kuvaa koti la jeshi wakati kimsingi wao ni mapolisi!
Na wanasiasa wana akili sana. Wanajua sana kuwa handle hawa maroboti wanaovaa mabuti!
Mwanasiasa anakuvalisha buti na kukupa mamlaka, and you feel empowered.
Yeye anabaki na dola, wewe unabaki na buti!
#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Kulikuwa na sababu yoyote ya kumvunja mkono? I mean, well, hata kama hiyo sababu ipo, kulikuwa na ulazima wa kumvunja mkono?
Hili genge linalojiita polisi halina nidhamu kabisa! They are very indisciplined!
Hivi huwa hawana miongozo na miiko ya kazi? Si kuna PGO? Lakini pia kuna mamlaka za nidhamu zinazowatizama?
Kwani ukiwa polisi ghafla tu unageuka kuwa mvuta bangi?
Sisi hapa hatuna polisi. Wengi wanafanya kazi kama genge la wahuni na wahalifu. Polisi wetu hawa wanaweza kukukamata hata wewe, alimradi mkubwa fulani ulipishana naye. Usishabikie. Majeshi ya namna hii, katika ulimwengu wa leo yanazidi kupotea.Ki Halima kina asili ya ukiherehere, yaani unakuta waliambiwa muondoke wao wakajifanya wanaenda kuwashawishi wajeda kitu ambacho jeshi huwa lina amri tu. Mwache akome ajifunze huyu bidada, na hapo wamfugulie mashitaka afungwe tena mbuyuyu mkubwa