Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wengi walikuwa wanachukuliwa miongoni mwa familia za askali walioshindikana kotasi na waliokuwa wanavuta bangi.zamani wasomi walikuwa hawaendi jeshini hivyo walikuwa wanachukuliwa waliofeli shule na kukosa pa kwenda.haya matukio ya Askari kupiga raia yanakaribia kukomaa Happ nguvu ya umma itakapochukua nafasi yake.they have to learn from the past.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni Kweli Basi kuna shida Halima Mdee kwani alikuwa na bastola? Au alikuwa na aka47? Nguvu nyiingi bila sababu
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Polisi wetu ni wajinga sana, hawatumii akili hata kidogo, inauma sana polisi kutumia mabavu bila sababu za msingi
 
Kulikuwa na sababu yoyote ya kumvunja mkono? I mean, well, hata kama hiyo sababu ipo, kulikuwa na ulazima wa kumvunja mkono?

Hili genge linalojiita polisi halina nidhamu kabisa! They are very indisciplined!

Hivi huwa hawana miongozo na miiko ya kazi? Si kuna PGO? Lakini pia kuna mamlaka za nidhamu zinazowatizama?

Kwani ukiwa polisi ghafla tu unageuka kuwa mvuta bangi?
Mimi kwenye mechi ya Yanga na Simba polisi wamenipiga virungu bila sababu yoyote,wamenivunja mkono hapa nilipo ndo nasikia nafuu kidogo
 
Polisi wetu ni wajinga sana,hawatumii akili hata kidogo,inauma sana polisi kutumia mabavu bila sababu za msingi

Una uhakika hao walikuwa polisi? Au ndio ni muendelezo wa majungu? Then una-generalize wajinga etc. wewe upo hapo salama au sio?
 
Mimi kwenye mechi ya Yanga na Simba polisi wamenipiga virungu bila sababu yoyote,wamenivunja mkono hapa nilipo ndo nasikia nafuu kidogo

Leta ushahidi, vinginevyo ni majungu. Kwa hiyo unaandika kutokana na hasira zako za kupigwa na polisi then hata Halima naye amepigwa na polisi. What a crap!
 
Leta ushahidi, vinginevyo ni majungu. Kwa hiyo unaandika kutokana na hasira zako za kupigwa na polisi then hata Halima naye amepigwa na polisi. What a crap!
Ahsante sana, sina sababu ya kukupa wewe ushaidi kwamba polisi wetu ni wanyanyasaji wa raia,but haya yana mwisho,inaweza kuwa sio mimi kushuhudia huo mwisho lakini ipo siku kizazi chako au wewe mwenyewe utalia
 
Leta ushahidi, vinginevyo ni majungu. Kwa hiyo unaandika kutokana na hasira zako za kupigwa na polisi then hata Halima naye amepigwa na polisi. What a crap!
Nimeandika kwa kuwa na ushaidi wa jinsi wasivyotumia akili
 
Si wanatafuta attention ya jumuia za kimataifa, aende ubalozi wa USA wakampe matibabu. Kama hawawezi kutii mamlaka ya sehemu husika basi hicho ndicho faida yao.Watavunjwa hadi wasagike. Kisa wewe ni mbunge basi unajiona upo juu ya sheria, kisa wewe ni mbunge basi unajiona una mamlaka na jeshi la magereza.
 
Ahsante sana, sina sababu ya kukupa wewe ushaidi kwamba polisi wetu ni wanyanyasaji wa raia,but haya yana mwisho,inaweza kuwa sio mimi kushuhudia huo mwisho lakini ipo siku kizazi chako au wewe mwenyewe utalia

Ati nitalia? Do you know me? Do you know what I went through? Wacha kuandika pumba ''kila ndege huruka kwa mbawa zake.''
 
Mtu mshamlipia kiasi anachodaiwa mnaenda kumpokea gerezani mnakuta mlango umefungwa mnalazimisha kuingia...KM!
Wanatafuta attention ya kimataifa. Na watavunjwa hadi wasagike kama hawatawezi kutii mamlaka.
 
V

Vipi kuhusu double standard? Kuna namna tofauti anayopaswa kutendewa polepole na wafuasi wake walipoenda kumtoa mashinji na msigwa na kile wanachopaswa kutendewa akina halima walipoenda kumtoa mbowe,mbona nchi ni moja na sheria ni zilele kwa kila mtu au zinabagua? Hivi unadhani makaburu wasingelazimishwa kuacha ubaguzi wangeacha?
Kwani akina mdee walitolewaje? Mbona hakukuwa na vurugu. Hiki kimama kisichokuwa na adabu ndicho kinachoisababishia Chadema ipate matatizo kila siku. Mbona chenyewe kilipotoka hakukuwa na vurugu. Na bado kitavunjwa hadi kiuno.
 
Back
Top Bottom