Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]
Polisi wana sema hawaja wapiga. Wakati wao ndio waliwashikilia. Ina chekesha sana.. IGP asipo wafundisha hawa askari wake wata kuja liingiza Taifa kwenye taharuki. Hivi sasa polisi wana jiona wako juu ya sheria zote za nchi. Mh Rais nae an furahia huu upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.
Iko Siku? Siku gani? Nionyeshe mahali popote duniani hii siku ilifika

NB: Usinitajie siku ambazo mliishia kunyukana wanasiasa kwa wanasiasa

Nataka siku ambazo mligeuka mkachoma nyumba, kuua watoto na kuwapiga watoto wa polisi popote pale duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TOHATO,
Vipi kuhusu double standard? Kuna namna tofauti anayopaswa kutendewa polepole na wafuasi wake walipoenda kumtoa Mashinji na Msigwa na kile wanachopaswa kutendewa akina halima walipoenda kumtoa Mbowe, mbona nchi ni moja na sheria ni zilele kwa kila mtu au zinabagua? Hivi unadhani makaburu wasingelazimishwa kuacha ubaguzi wangeacha?
 
Wakija watasema walitumia ‘nguvu za kadri’ ndio mpaka kuvunjana mikono au kupasuana vichwa kweli.

Mbona polepole alipomfuata Mashinji na wapambe atukuona polisi nje ya jela.

Shame on the police force
Hulka ya upande ndio inapelekea jambo kutendeka

Polepole mtu mzito wa chama kinachoongoza serikali umpelekee polisi iweje? Atafanya nini?

Labda uwapeleke kumlinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wana sema hawaja wapiga. Wakati wao ndio waliwashikilia. Ina chekesha sana.. IGP asipo wafundisha hawa askari wake wata kuja liingiza Taifa kwenye taharuki. Hivi sasa polisi wana jiona wako juu ya sheria zote za nchi. Mh Rais nae an furahia huu upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upumbavu umekariri polisi tu, huwa mnafikiri wanaoweza kupiga ni polisi tu

Kacheze ofisi za uhamiaji ushuhudie kichapo chake ndio utajua sio polisi tu wanaopiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hulka ya upande ndio inapelekea jambo kutendeka

Polepole mtu mzito wa chama kinachoongoza serikali umpelekee polisi iweje? Atafanya nini?

Labda uwapeleke kumlinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Polepole hana mamlaka ya kupewa ata mgambo tu wa kumlinda kikatiba, labda walinzi kutoka kampuni binafsi ambao CCM itawalipa.

Hana mamlaka ya kumpa maagizo hata mwenyekiti wa mtaa, siyo yeye tu ata na Bashiru.

Wasimamizi wa wa ilani ya chama tawala ni raisi na baraza la mawaziri na watekelezaji ni makatibu wakuu na watu wote waliochini yao mpaka kwenye ngazi za serikari za mitaa.

Waliopigwa ni waheshima viongozi wanaotambulika kikatiba. Polepole na Bashiru katiba yetu aiwatumbui kama viongozi wa kitaifa (ni viongozi ndani ya CCM tu), kama walivyo viongozi wengine kama akina Ado Shaibu et al ndani ya vyama vyao.
 
Mtu mshamlipia kiasi anachodaiwa mnaenda kumpokea gerezani mnakuta mlango umefungwa mnalazimisha kuingia...KM!
 
Sipendi kbs siasa ila nawachukia sana polisi ambao hawana nidhamu ni watu wajinga sana. Sasa hapo utajikuta wanapongezana kwa ujuha wao waliofanya. Kuna siku mvua inanyesha kuna polisi wawili niliwanyima lifti kwa makusudi kbs. Kwanza toka lini askari anaogopa mvua. Ukweli siwapendi hawana msaada kbs na raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom