Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Ukiona ile hali ilivyokuwa siku ya hukumu pale Kisutu na hili tukio la jana pale Segerea ,

unapata picha na hali halisi ya uchaguzi Mkuu ujao utakavyokuwa .
 
Ndo maana mafunzo na mazoezi yao yanahusisha nguvu... Yaani kicheche mmoja kashiba KANDE anakwenda kutikisa Geti LA Gereza..!!? Wallah alistahili kuzimishwa kabisa. Shwain
Kwa faida ndio itawaondolea stress za dhiki
 
Kwa mwendo huu uhalifu hauwezi kuisha nchini,Kama polisi wanachukiwa na raia na hata kuwaogopa,lini watatoa ushirikiano chanya kwa jeshi letu.

Na Kama wangekuwa wanafanya kasi kwa akili bila kutumia nguvu,idadi ya polisi ingekuwa inatosheleza mahitaji kea 100% maana kazi nyingi za kiuhalifu wangekuwa wanashirikiana na raia Tena kwa kiwango Cha Hali ya juu.
 
Kabla ya kumtoa mkoloni mweusi,lazima kuwe na wahanga na kina Mdee ndio wahanga wa awali ila bado kuna wahanga wengi huko mbeleni.

Tuvumilie tu kwani haya yana mwisho.
Hatujawahi sikia mwanaharakati anavamia vyombo vya Dola.....just in Tz.

Mwanaharakati ashughulike na akili za Nyumbu siyo majeshi yetu. Kuna siku tutawatoa vizazi
 
Kwa mwendo huu uhalifu hauwezi kuisha nchini,Kama polisi wanachukiwa na raia na hata kuwaogopa,lini watatoa ushirikiano chanya kwa jeshi letu..
Na Kama wangekuwa wanafanya kasi kwa akili bila kutumia nguvu,idadi ya polisi ingekuwa inatosheleza mahitaji kea 100% maana kazi nyingi za kiuhalifu wangekuwa wanashirikiana na raia Tena kwa kiwango Cha Hali ya juu.
Wahalifu wapi unaowazungumzia!? Si ndo hao wavunjwa mikono??? Haki ya nani nakwambia hatarudia
 
STILL NOT LOVING police.
tapatalk_1583311758800.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Haya majitu ya ajabu sana...sasa hapo ndo yanapandishwa vyeo kwa kuvunja watu mikono
 
Kwa mwendo huu uhalifu hauwezi kuisha nchini,Kama polisi wanachukiwa na raia na hata kuwaogopa,lini watatoa ushirikiano chanya kwa jeshi letu..
Na Kama wangekuwa wanafanya kasi kwa akili bila kutumia nguvu,idadi ya polisi ingekuwa inatosheleza mahitaji kea 100% maana kazi nyingi za kiuhalifu wangekuwa wanashirikiana na raia Tena kwa kiwango Cha Hali ya juu.
Aliyewadanganya kwamba CHADEMA ndo wananchi/raia wa Tanzania ndo anaewaponza, the majority tupo tumetulia mje mkianzishe muone maana halisi ya nguvu ya umma, wamefanya fujo gerezani ulitaka wachekewe? Ogopa sana KM na wala sio polisi mlozoea kuwatukana kila siku.
 
Jamani ni Magereza sio POLICE. Mnan'gan'gania bila ya kujua. Msifanye siasa jeshini. TPDF, PRISON. UHAMIAJI. POLICE. Hakuna siasa. Mh unahishia mlagoni
Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom