Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kulikuwa na sababu yoyote ya kumvunja mkono? I mean, well, hata kama hiyo sababu ipo, kulikuwa na ulazima wa kumvunja mkono?

Hili genge linalojiita polisi halina nidhamu kabisa! They are very indisciplined!

Hivi huwa hawana miongozo na miiko ya kazi? Si kuna PGO? Lakini pia kuna mamlaka za nidhamu zinazowatizama?

Kwani ukiwa polisi ghafla tu unageuka kuwa mvuta bangi?
Ki Halima kina asili ya ukiherehere, yaani unakuta waliambiwa muondoke wao wakajifanya wanaenda kuwashawishi wajeda kitu ambacho jeshi huwa lina amri tu. Mwache akome ajifunze huyu bidada, na hapo wamfugulie mashitaka afungwe tena mbuyuyu mkubwa
 
Hizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.
 
Nachukizwa sana na huu ujinga, MwanaGiningi takuja ikomboa hii nchi.
Polisi kwanini mnapelekeshwa! msipo tumia nguvu nyingi ktk kazi zenu mtapungukiwa nini! Kaeni mkijua dola itabadilika..je, mtaficha wapi sura zenu! Hivi hamjiulizi tu kwanini mnatumika hovyo ila mishahara mnayolipwa haiendani na umuhimu wenu ktk nchi! Hivi lile neno mnaloambizana "Polisi tumelogwa, aliyetuloga kafa"(nasikia wengi wenu mnasemaga hili neno) hamjui chanzo chake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanarogwa kwanza ili Wawe robot watumiwe Na wanasiasa
 
Hizi mambo za Polisi kupiga raia in the name of kulinda amani au kuzuia vurugu tushazisikia sana, zishalalamikiwa sana na hakuna kinachobadilika, walimuua Akwilina watu wakasema wee, bado vinaendelea iko siku wananchi watajachukua sharia mikononi mwao…….Polisi wenyewe tunaishi nao mitaani, ni majirani zetu, watoto wao wanasoma na wenetu, wake zao wanashiriki vikoba nasi...…...iko siku.

Stress za maisha ya kuitumikia ccm isiyowalipa fadhila
 
Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Sio kauli bora nao ni sehemu ya jamii pia wazazi familia zao zinaishi mitaani pia wajiongeze wasiwe marobot toilet paper za ccm wanaishi Na jamii
 
Hawa watakuwa ni hawa polisi wasiokuw na elimu

siungi huu ujinga japokuwa kuna mambo pia cha chadema hawayafanyi kama watu wenye akili,

Ila kwa hili la polisi kufika na kuanza kupiga watu hovyo ni upuuzi wa khar ya juu wala hauvumiliki...

Jeshi la polisi kila mara hutumia nguvu kubwa sana kukamata raia na kuwatesa..
Nishashuhudia,hata ukikamatwa ukapeleka kituoni wanakutreatas uf hauna haki yoyote...
Ni sehemu ya wasiojulikana trained for a special purpose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzaha mzaha ya namna hii kuna siku watamuua kiongozi mwenye ushawishi nchi inalipuka!

Nchi hii ya Tanzania? Kwa hawa raia wanaowaza kubet, singeli, vigodoro, harusi, birthday parties etc??
 
Hawa watakuwa ni hawa polisi wasiokuw na elimu

siungi huu ujinga japokuwa kuna mambo pia cha chadema hawayafanyi kama watu wenye akili,

Ila kwa hili la polisi kufika na kuanza kupiga watu hovyo ni upuuzi wa khar ya juu wala hauvumiliki...

Jeshi la polisi kila mara hutumia nguvu kubwa sana kukamata raia na kuwatesa..
Nishashuhudia,hata ukikamatwa ukapeleka kituoni wanakutreatas uf hauna haki yoyote...
Ndo maana mafunzo na mazoezi yao yanahusisha nguvu... Yaani kicheche mmoja kashiba KANDE anakwenda kutikisa Geti LA Gereza..!!? Wallah alistahili kuzimishwa kabisa. Shwain
 
Back
Top Bottom