Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kabla ya kumtoa mkoloni mweusi,lazima kuwe na wahanga na kina Mdee ndio wahanga wa awali ila bado kuna wahanga wengi huko mbeleni.

Tuvumilie tu kwani haya yana mwisho.
Ila muhanga wa awali kabisa ni Ben Saanane.
 
Ubaya wa kuajiri watu kwenye jeshi la polisi kwa sifa ya urefu badala ya elimu.
Kuna haja ya nchi yetu kuwa na police service na kuondoa kabisa hii police force

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakumbuka vzr sana majitu yalokuwa yanakimbilia kujiunga na Polisi/Jeshi ni yale yalopata DARAJA '0'(DIV-0)....! Automatically ni mijitu isiyo na akili inaongozwa kwa AMRI na KUVUTA BHANG....!
Naomba Rais Magufuli atoe pesa za kumtibia Mhe.Halima Mdee.

Meanwhile CHADEMA ijipange kufungua kesi Mahakamani kuwashtaki Jeshi la Polisi kwa kumshambulia Raia asiye na hatia...tumechoka na huu upumbaf wa Polisi wavuta bhang!
 
Polepole hana mamlaka ya kupewa ata mgambo tu wa kumlinda kikatiba, labda walinzi kutoka kampuni binafsi ambao CCM itawalipa.

Hana mamlaka ya kumpa maagizo hata mwenyekiti wa mtaa, siyo yeye tu ata na Bashiru.

Wasimamizi wa wa ilani ya chama tawala ni raisi na baraza la mawaziri na watekelezaji ni makatibu wakuu na watu wote waliochini yao mpaka kwenye ngazi za serikari za mitaa.

Waliopigwa ni waheshima viongozi wanaotambulika kikatiba. Polepole na Bashiru katiba yetu aiwatumbui kama viongozi wa kitaifa (ni viongozi ndani ya CCM tu), kama walivyo viongozi wengine kama akina Ado Shaibu et al ndani ya vyama vyao.
Kwahiyo la kulindwa ndio limekuuma? Sasa polisi wapekekwe anapokuwepo ili iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi kbs siasa ila nawachukia sana polisi ambao hawana nidhamu ni watu wajinga sana. Sasa hapo utajikuta wanapongezana kwa ujuha wao waliofanya. Kuna siku mvua inanyesha kuna polisi wawili niliwanyima lifti kwa makusudi kbs. Kwanza toka lini askari anaogopa mvua. Ukweli siwapendi hawana msaada kbs na raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi gani wapuuzi hao waliokuomba lift?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wengi walikuwa wanachukuliwa miongoni mwa familia za askali walioshindikana kotasi na waliokuwa wanavuta bangi.zamani wasomi walikuwa hawaendi jeshini hivyo walikuwa wanachukuliwa waliofeli shule na kukosa pa kwenda.haya matukio ya Askari kupiga raia yanakaribia kukomaa Happ nguvu ya umma itakapochukua nafasi yake.they have to learn from the past.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani, na sasa hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Katibu mkuu wa ccm kasema watatumia dola kuhakikisha wanabaki madarakani!!!!
 
Halima anapenda sana kuhatarisha maisha yake. Endapo atajisababishia ulemavu anajikosesha fursa za baadae. 2025 tutakapowapa nchi si ataukosa hata uwaziri kwa kisingizio kuwa ni kilema?
 
Kuboresha maisha yao,kuwaongezea mishahara,vyeo,nk.Uoni choka mbaya mda wa kuitumikia ccm ukiisha had huruma
Unamzungumzia mzee wako aliyefanya upolisi wa kizamani, Kada zote mpaka mawaziri wa zamani hawana kitu wakishastaafu

Polisi Wa sasa wanatoka katika jamii ya sasa, wakishaajiriwa wanaanza uwekezaji

Fikra zako kwamba ni choka mbaya wakistaafu omba uzima baada ya miaka kadhaa uone vijana wa sasa wanavyostaafu upolisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Pole sana mtanzania mwenzangu ,mungu atatenda na utapona haraka,yeye ndo ajuae siku za binadamu kuishi dunian
 
Chadema mda mwingine mnakera bana ... Matukio Kama haya ndio ya kuchukua point za bure...


Kila tukio ingebidi mpaka Sasa hivi mkawa mmeshafanya press conference kubwa ya kuzungumzia Hilo suala Tena muda mwingine hakikisheni wazungumzaji wanazungumza kwa kiingereza... Yaani session moja ihutubiwe kwa kiswahili nyingine kiingereza ...


Hiyo ya kiingereza iwekwe katika social media na muwa-tag mashirika yote ya kimataifa, makampuni, watu mashuhuri, UN, mahakama ya ICC, wanaharakati wa kimataifa , Vyombo vikubwa vyoote vya habari.


Inabidi siku nyingine mnai-tag mpaka ikulu ya Tanzania ...


Hizo kazi tupeni jamani muone moto wake ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mvuta Bangi kati yenu, wewe unayekurupuka kwa Chuki zako dhidi yao ilihali hawakuwepo gerezani au wao?
Nakumbuka vzr sana majitu yalokuwa yanakimbilia kujiunga na Polisi/Jeshi ni yale yalopata DARAJA '0'(DIV-0)....! Automatically ni mijitu isiyo na akili inaongozwa kwa AMRI na KUVUTA BHANG....!
Naomba Rais Magufuli atoe pesa za kumtibia Mhe.Halima Mdee.

Meanwhile CHADEMA ijipange kufungua kesi Mahakamani kuwashtaki Jeshi la Polisi kwa kumshambulia Raia asiye na hatia...tumechoka na huu upumbaf wa Polisi wavuta bhang!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Endeleeni kuligawa taifa kwa nguvu zote!Ipo siku mtajutia uovu wenu,kwa kauli kama hizi ndio maana watu walikuwa wakifurahia kila wakisikia kibiti kuna panya wa CCM amezimishwa!
 
Huo mkono ulitakiwa kukatika kabisa ,nasikitika umeishia kuvunjika tu,ninahuzuni sana
Kwa kauli kama hizi sishangai watu kumpa pole Punda aliyekufa kwa kugongwa badala ya kumpa pole Kigwangala aliyekuwa mahututi!
Sishangai kwanini watu walifurahi kila wakisia Kibiti kuna mtu kazimushwa!
Endeleeni kuligawa taifa kwa nguvu zote,mtakipata mnachokitafuta!
 
Back
Top Bottom