Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Duuu kavunjwa vibaya sana ila hawa police na magereza watambue wanakula,kunywa,kuvaa,kunya ,kubeba bunduki kwa sababu ya kodi zetu na pia wao ni miongoni mwa waTz waache usenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania karibia 70% nahisi hawajui Haki zao. Mkulima analima na hakuna mtu anayemsumbua.
Daktari yupo hospital kutibu wagonjwa na hakuna was kumsumbua. Walimu wapo mashuleni kufundisha na hakuna wa kumsumbua.

Wavuvi wanavua samaki ziwani na baharini na hakuna wa kuwasumbua. Wafugaji,wanatunza mifugo yao na kuitafutia malisbo na maji. Mama ntilie wanauza vyakula kwa migahawa na hakuna anaye wasumbua.
Polisi ni kulinda raia na Mali zao,hi ndo kazi walioichagua. Wanasiasa wanafanya siasa watafute wanachama ndo kazi waloichagua.

Sasa kwa Nini mtu mwingine anazuia kazi za watu wengine? Je anawaone wivu?
Tufikirie hili na tuchukue hatua kwa Kila mtu kuanza utamaduni wa.kuheshimu kazi za watu wengine
 
Serikali iliyoshindwa kuongoza huanza kugombana na raia wake. Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea
 
Kila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.

Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu.
View attachment 1388478

In God we Trust
Bahati mbaya sana Rais wetu Magufuli anayaona haya ni sahihi, kwa sababu aliyefanyiwa hivi siyo mwanaCCM!!

Tanzania tuna Polisi, au tuna genge la majambazi waliopewa crown ya Jamhuri na hivyo kuwa official killers?
 
Kitendo cha Mh.mdee kuanza kuwatolea matusi askari magereza kupima akili zao, asikirudie tena na tena wale jamaa hawanaga shida lakini linapokuja swala la kuwachokoza ama zao ama zako, eti anaongelea mishahara yao!!!!

Eti anamkashifu rais mbele yao nao hawakukubali rais akashifiwe mbele yao wakamwonesha alichokitaka,,,,Unamtukana amiri jeshi mbele ya askari wake!!!? Aisee Mdee aliyatafuta mwenyewe japo huwa nampenda tena sana
 
Tupe tafsiri ya hiyo x ray picha we ni Doctor. Au mnatafuta public sympath sababu uchaguzi mmeshindwa.Propaganda za kishamba
Wewe siyo bure, utakuwa na uwendawazimu uliopitiliza. Get back to your human senses and get rid off your satanic soul.
 
Hiyo yote ni upumbafu wao wenyewe wala si wa kuhurumia. Unatafuta publicity mpaka unakera yaani. Magereza si pa kufanyia matani hayo. Sahihi kabisa.
Kila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.

Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu.
View attachment 1388478

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe siyo bure, utakuwa na uwendawazimu uliopitiliza. Get back to your human senses and get rid off your satanic soul.
Pumbavu wewe, Dr pekee ndio anamlaka ya kutafsiri x ray picture. Acha use...
 
Kila nikiangalia hii picha ya x-ray najisikia natetemeka. Tazameni jinsi mhe Halima Mdee walivyo mvunja mkono hapo kwenye picha chini.

Huu ni zaidi ya ukatili ulio putiliza jamani watanzania wenzetu.
View attachment 1388478

In God we Trust
Jaribu kufanya propaganda zenye tija kwa chama chako. Hebu angalia hii picha.


9 May 2017
Gene therapy might someday help mend badly broken bones This experimental method combines gene therapy, stem cells and ultrasound


1584212766000.png

Chanzo: www.health24.com
 
Tupe tafsiri ya hiyo x ray picha we ni Doctor. Au mnatafuta public sympath sababu uchaguzi mmeshindwa.Propaganda za kishamba

Huhitaji kuwa doctor kuona hiyo picha ya X-ray inaonyesha nini. Labda kwakuwa ww ni mtetea uovu ndio maana unaongea huu uhanithi.
 
Back
Top Bottom