Hii picha imeibiwa www.health24.com. (Bofya). Huo sio mkono wa Halima Mdee.#Updates #Kutoka_Hospital
Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.
Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭View attachment 1388537
We unauhakika gani ni picha ya Halima? Halima mwenyewe huwa anakoroma akiwa anaongea. Je kwenye game?Huhitaji kuwa doctor kuona hiyo picha ya X-ray inaonyesha nini. Labda kwakuwa ww ni mtetea uovu ndio maana unaongea huu uhanithi.
hiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
We unauhakika gani ni picha ya Halima? Halima mwenyewe huwa anakoroma akiwa anaongea. Je kwenye game?
Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.Dah! Ila hawa watesi siku yao ina hesabika tu
Unaelewa maana ya x-ray?hiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Mkuu nakuombea yakukute ya namna hiyo,ili uje uongee tena upuuzi kama huo,na lazima yakukute tuMpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani JPM aache kudili na mambo ya msingi alafu adili na upuuzi?Unaongea utoto gani we dogo, Halima mwenyewe kasema amevunjwa mkono, na hayo ni maagizo ya jiwe, sasa ww mtetea uovu unajaribu kututoa nje ya reli kwa utoto wako.
Yaani JPM aache kudili na mambo ya msingi alafu adili na upuuzi?
Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Hakimu Thomas Simba au wapi ?
Wewe ni form 4 failure kabisa... Una dalili zoteMpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app