Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kuna wakati unakaa unawaza mtu aliyefanya alikua na malengo gani na akili yake ilikua yotee unakosa jibu
 
Unaweza muuliza huyo polisi aliemvunja mkono kwanini umefanya hivyo akakupa jibu litakalokufanya umuone mwenye utu na ubinadamu, mfano akakwambia tuliambiwa tuue sio tuvunje ila utu umenishida, usishangae, awamu hii lolote linawezekana, hii ni awamu ya mizimu sio binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
X Rey inaonyesha mikono yote imevunjia, taarifa inasema mkono mmoja

Pole Haima Mdee.
 
Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna sehemu itakua umepapaswa haiwezekani kabisa hasira kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna sifa gani kushinda mkihangaishana na vyombo vya kiserikali tena kwa kutafuta kick za kisiasa?

Haya leo mkono umevunjika, maumivu anakesha nayo huyo huyo alievunjwa,

Waliompandisha mori atukane askari sasa hivi wako makwao wakila zile buku ten za posho ya kupiga kelele kwenye misafara ile fake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama nani Hapa Tanzania.?
 
Hivi kuna sifa gani kushinda mkihangaishana na vyombo vya kiserikali tena kwa kutafuta kick za kisiasa?

Haya leo mkono umevunjika, maumivu anakesha nayo huyo huyo alievunjwa,

Waliompandisha mori atukane askari sasa hivi wako makwao wakila zile buku ten za posho ya kupiga kelele kwenye misafara ile fake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kapuku endelea kutumikishwa ka mtumwa
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭View attachment 1388537

Siku hawa watawala kukistaafu watakuja kujiuliza mambo ambayo walikuwa wanafanya bila kupata majibu wape miaka 6 tu wakina Salmin wako wapi mbona Seif bado yupo! Wakina Kinana sasa wamegeukwa, Makamba nk
 
Hayo ndiyo mapandikizi ya chakubanga kuitetea fisiem
Wewe siyo bure, utakuwa na uwendawazimu uliopitiliza. Get back to your human senses and get rid off your satanic soul.

In God we Trust
 
Mkuu kama hujamstukia basi hilo ndiyo lengo lake na siyo bahati mbaya bali ni mpango kabisa wa kuzima mijadara ya aina hii dawa yake ni kumpuuza tu
Unaongea utoto gani we dogo, Halima mwenyewe kasema amevunjwa mkono, na hayo ni maagizo ya jiwe, sasa ww mtetea uovu unajaribu kututoa nje ya reli kwa utoto wako.

In God we Trust
 
Polisi wengi wana maisha magumu mno hata wakifanya haya sio kwa akili zao ila kwa stress, wengi wanaishi kotazi(maisha plasi) nyumba chafu na mbovu zisizo na hewa. Wengine wanaishi kwenye mabanda ya mabati mafupi ambayo ukimfungia kuku lazima afe maana ni tanuru la moto sio nyumba.
Mishahara yao haikidhi mahitaji ya familia, 90% watoto wao wanasoma shule za kata.

Kupata riziki lazima wadhukumu ili watoto waende chooni vinginevyo watajisaidia huku wamesimama.
Wanapokea amri tu kila wakati hakuna kukataa ni kukubali tu, huu ni utumwa na ugonjwa wa akili huwezi kuwa timamu hata siku moja.

Usiku tumelala na wake zetu wao wanazurura nje kama wanga wake zao wanajichua tu mabafuni humo. Hii kazi hakuna maisha ndiomaana wengine hujiuaga tu wenyewe na wengine hufa midomo wazi na wengine kugeuka ombaomba wanapistaafu. Hii sio kazi ni ujakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom