Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Akitoka hapo arudishwe jela, maeneo ya kijeshi si ya kuleta siasa. Wakome kabisa kujifanya wanaharakati maeneo ya jeshi, pongezi kubwa sana kwa jeshi la magereza.
Tukianza kuruhusu huu ujinga wa kiharakati, siku utasikia wamevunja gereza kumtoa mwenzao. Hiki wanachofanya Chadem sio siasa ni uanaharakati wa kipumbavvv
 
Mishenyi,
Siku familia za askari wale zikianza kudhughulikiwa mtaani msianze geuza maneno, askari wote waliohusika Na unyama ule wameshafahamika wote had familia zao, Ni swala LA muda tu.Atashughulikiwa mmoja baada ya mwingine.kitendo kilichofanywa Na askari magereza Ni zaidi ya uhuni hakikubaliki kamwe...
 
Hayo mambo yanawezekana kwenye mataifa ya madikteta tu, Siku wakidundwa kina polepole mtatambua...
Hiyo haitakaa itokee kwa wanasiasa wenye busara Kama wale..never. tunajua mtaji wa wapinzani ni fujo .hakuna lingine...hivyo ndivyo akili zao zinavyowatuma.
 
Tukianza kuruhusu huu ujinga wa kiharakati, siku utasikia wamevunja gereza kumtoa mwenzao. Hiki wanachofanya Chadem sio siasa ni uanaharakati wa kipumbavvv
Mkuu jeshi LA magereza walikosea, hakukuwa Na ulazima Wa kuwapiga wale viongozi wanawake Na kutoa upepo kwenye magari yao, kama chombo cha umma wangewakamata Na kuwakabidhi polis kama kweli walitenda makosa.Hili jambo ilitakiwa waziri Wa mambo ya ndani achukue hatua.hatuwezi kuwa Na askari wanaochukua sheria mkononi kiasi hicho...
 
Siku familia za askari wale zikianza kudhughulikiwa mtaani msianze geuza maneno, askari wote waliohusika Na unyama ule wameshafahamika wote had familia zao, Ni swala LA muda tu.Atashughulikiwa mmoja baada ya mwingine.kitendo kilichofanywa Na askari magereza Ni zaidi ya uhuni hakikubaliki kamwe...
Haukubaliki na Nani Sasa..sisi wananchi tulio wengi tunakubalina na Askari wale..Tena wamewaonea huruma ningekuwa Mimi, walahi hata jua wasingekaa walione...Wala ndugu zao Wala watoto wao, maana ni Kama UHAINI tu..rubbish...si umeona hata Mwenyekiti wao amejistukia..ametubu mbele ya Padri
 
Hiyo haitakaa itokee kwa wanasiasa wenye busara Kama wale..never. tunajua mtaji wa wapinzani ni fujo .hakuna lingine...hivyo ndivyo akili zao zinavyowatuma.
Subiri itatokea tu, siku kina polepole wakidundwa mtaani utasikia polis watakavyohaha kama kwa mangula...
 
Haukubaliki na Nani Sasa..sisi wananchi tulio wengi tunakubalina na Askari wale..Tena wamewaonea huruma ningekuwa Mimi, walahi hata jua wasingekaa walione...Wala ndugu zao Wala watoto wao, maana ni Kama UHAINI tu..rubbish...si umeona hata Mwenyekiti wao amejistukia..ametubu mbele ya Padri
We endelea kupayuka, kitendo kilichofanywa Na askari magereza hakikubaliki kamwe, hao wananchi walio wengi wepi? Labda maccm
 
Mkuu jeshi LA magereza walikosea, hakukuwa Na ulazima Wa kuwapiga wale viongozi wanawake Na kutoa upepo kwenye magari yao, kama chombo cha umma wangewakamata Na kuwakabidhi polis kama kweli walitenda makosa.Hili jambo ilitakiwa waziri Wa mambo ya ndani achukue hatua.hatuwezi kuwa Na askari wanaochukua sheria mkononi kiasi hicho...

Mkuu hata kuua majambazi Haki za binandamu hudai hivohivo kuwa sio sahihi. Lakini ukiendelea kucheka nao utakwisha, the same hata hawa. Unatoa upepo wa nini wakati order ilishatolewa waondoke hawakutaka. Mimi naona kwa kuset precedence hicho kichapo ni sahihi na haitokaa itokee tena wanasiasa wakakusanyika gerezani
 
We endelea kupayuka, kitendo kilichofanywa Na askari magereza hakikubaliki kamwe, hao wananchi walio wengi wepi? Labda maccm
Kitendo kinakubalika Cha ulinzi na usalama. Wananchi wengi tunawaunga mkono..tunasema Tena wamewaonea huruma..Sana..washukuru Mungu wao
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭View attachment 1388537
FF606C25-A152-4882-96D0-D3555A3C6777.jpeg

za kuambiwa changanya na zako
 
Mkuu hata kuua majambazi Haki za binandamu hudai hivohivo kuwa sio sahihi. Lakini ukiendelea kucheka nao utakwisha, the same hata hawa. Unatoa upepo wa nini wakati order ilishatolewa waondoke hawakutaka. Mimi naona kwa kuset precedence hicho kichapo ni sahihi na haitokaa itokee tena wanasiasa wakakusanyika gerezani
Labda wanasiasa Wa upinzani, polepole muda wote juzi alikuwa anarandaranda gerezani Na wanaccm wenzio
 
Hilo ni fundisho jingine wamepata..elimu dunia inaanza polepole.wataelewa tu somo
 
Labda wanasiasa Wa upinzani, polepole muda wote juzi alikuwa anarandaranda gerezani Na wanaccm wenzio
We ulikuwepo kule, au unaandika tu kujifariji. Unajua walikwenda kwa style ipi..uliona wanaandamana, uliona walivyoelekezwa na Askari walifanya Nini, unajua waliondokaje, unajua magari walipaki wapi...usikurupuke jomba huna hoja
 
Kama ni mwanao sijui mtu utajisikiaje.

Hili jeshi ni lina laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mwanao mkanye aheshimu taratibu na kufuata sheria za nchi,hawezi kukumbana na hayo mambo. Kwanza ni bahati wameenda Magereza,wangechezea geti la JWTZ saahizi kungekua na maturubai mitaani.

macson
 
Back
Top Bottom