Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Unajua hakuna kitu kizuri kama kuwa na mtizamo chanya. Wao akina Halima kila siku wanawatukana wajeda, wanawaambia ni piliceCCM, hivi unadhani wajeda wakitoa amri then wapinzani wapuuze, wajeda watafahamu wamegoma na wapo kwenye mpambano
Umesahau ya Bashiru ya kutawala kwa kutegemea dola?.
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana[emoji24][emoji24]View attachment 1388537
Mtoa taarifa tupe taarifa ya Uhakika.
Je, ni Polisi waliomvunja mkono Halima Mdee au ni Askari wa Magereza?
Kama ni Askari magereza basi kuwa mkweli.

Tusipende sana kuwachonganisha wananchi na Vyombo vya Dola kwa sababu za kisiasa.
Kuna wakati Askari Polisi walikua wanauawa kila siku bila sababu kwa sababu tu ya watu walioeneza Chuki dhidi ya Jeshi hilo kwa sababu yao binafsi.
IGP siro amefanya juhudi kubwa sana kurudisha utulivu wa kijamii sasa kuna watu wanajaribu kuzusha mambo kwa sababu zao binafsi.

Jeshi la Polisi lina taratibu zake za kudili na wahalifu lakini Pia Askari Magereza nao wana Taratibu zao wanapokua kwenye maeneo ya Magereza ili kuhami eneo hilo lenye Wafungwa. Sasa kama makosa yalifanywa na Chadema kuratibu mambo yaliyowaletea matatizo basi wawe wa kweli.

Askari magereza wanavikosi vyao vya kuzuia uhalifu kwenye magereza. Wanazuia kwa kupiga kweli kweli sasa kama wamemkuta MTU anavunja taratibu zao kwenye eneo lao wanampiga kweli kweli. Hakuna namna ya kumzuia MTU aliyekataa maelekezo ya kutofanya kitu Fulani zaidi ya kutumia nguvu. Na nguvu kwa Mhalifu ni kupunguza nguvu zake kwa kipigo. Kwa mikono laini ikikutana na kipigo kikubwa basi inaweza kuvunjika.

Vyama vya upinzani vujifunze kwa Zito Kabwe anajua nini hasa kipo ndani ya Dola.
Anafanya siasa zake kwa akili na Tahadhari kubwa sana.
Vurugu wakati huu kabla ya Kampeni kuanza ni kuanza kuvuruga amani bila sababu.

Kama walifika Gerezani wakaambiwa wasiingie basi wangetii tuu kuepusha Shari.
Mbona Paulo alifika Kwenye Mkutano mkuu wa Chadema akagomewa kuingia na yeye akakubali yakaisha.?
Tujifunze siasa za amani na za kistarabu.
Nilitegemea Mfanye mavurugu yenu kwa wale wanasiasa wenzenu wanaovamia mikutano yenu lakini sio kwenye Magereza na vituo vya Polisi na kambi za Jeshi kunakohifadhiwa silaha au wahalifu.
Kwa hali hiyo mtapigwa tuu mana hakuna namna nyingine.
Mnaopaswa kuwapinga kwa nguvu zote ni akina Bolebole wanaotengeneza propaganda za kuwapotezea dira na kuwakandamiza sio kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na sababu yoyote ya kumvunja mkono? I mean, well, hata kama hiyo sababu ipo, kulikuwa na ulazima wa kumvunja mkono?

Hili genge linalojiita polisi halina nidhamu kabisa! They are very indisciplined!

Hivi huwa hawana miongozo na miiko ya kazi? Si kuna PGO? Lakini pia kuna mamlaka za nidhamu zinazowatizama?

Kwani ukiwa polisi ghafla tu unageuka kuwa mvuta bangi?
Kulikuwa na sababu ya kwenda kupokea mtu kwa vurugu....

Angekaa nnje angesubiri si wangemchukua..

Unafanyaje vurugu maeneo ya watu.. Ni mazoea mabaya... Binafsi sitetei ujinga... Angevunjwa na mwingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu:Juma matokeo yake vip?
Mzazi:Limefeli tu, litoto lenyewe jinga tu
Ndugu:Kwani ana four ya ngap?
Mzazi :Sijui 30, sijui mimi ya mwisho mwisho tu sijui kama hata atapata cheti

Ndugu:Fatilieni kuna jamaa yangu nitaongea naye amtafutie nafasi asomee hata.. .... kuliko kuishi a mtaani

What do you expect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa taarifa tupe taarifa ya Uhakika.
Je, ni Polisi waliomvunja mkono Halima Mdee au ni Askari wa Magereza?
Kama ni Askari magereza basi kuwa mkweli.

Tusipende sana kuwachonganisha wananchi na Vyombo vya Dola kwa sababu za kisiasa.
Kuna wakati Askari Polisi walikua wanauawa kila siku bila sababu kwa sababu tu ya watu walioeneza Chuki dhidi ya Jeshi hilo kwa sababu yao binafsi.
IGP siro amefanya juhudi kubwa sana kurudisha utulivu wa kijamii sasa kuna watu wanajaribu kuzusha mambo kwa sababu zao binafsi.

Jeshi la Polisi lina taratibu zake za kudili na wahalifu lakini Pia Askari Magereza nao wana Taratibu zao wanapokua kwenye maeneo ya Magereza ili kuhami eneo hilo lenye Wafungwa. Sasa kama makosa yalifanywa na Chadema kuratibu mambo yaliyowaletea matatizo basi wawe wa kweli.

Askari magereza wanavikosi vyao vya kuzuia uhalifu kwenye magereza. Wanazuia kwa kupiga kweli kweli sasa kama wamemkuta MTU anavunja taratibu zao kwenye eneo lao wanampiga kweli kweli. Hakuna namna ya kumzuia MTU aliyekataa maelekezo ya kutofanya kitu Fulani zaidi ya kutumia nguvu. Na nguvu kwa Mhalifu ni kupunguza nguvu zake kwa kipigo. Kwa mikono laini ikikutana na kipigo kikubwa basi inaweza kuvunjika.

Vyama vya upinzani vujifunze kwa Zito Kabwe anajua nini hasa kipo ndani ya Dola.
Anafanya siasa zake kwa akili na Tahadhari kubwa sana.
Vurugu wakati huu kabla ya Kampeni kuanza ni kuanza kuvuruga amani bila sababu.

Kama walifika Gerezani wakaambiwa wasiingie basi wangetii tuu kuepusha Shari.
Mbona Paulo alifika Kwenye Mkutano mkuu wa Chadema akagomewa kuingia na yeye akakubali yakaisha.?
Tujifunze siasa za amani na za kistarabu.
Nilitegemea Mfanye mavurugu yenu kwa wale wanasiasa wenzenu wanaovamia mikutano yenu lakini sio kwenye Magereza na vituo vya Polisi na kambi za Jeshi kunakohifadhiwa silaha au wahalifu.
Kwa hali hiyo mtapigwa tuu mana hakuna namna nyingine.
Mnaopaswa kuwapinga kwa nguvu zote ni akina Bolebole wanaotengeneza propaganda za kuwapotezea dira na kuwakandamiza sio kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Paulo ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa,lakini hakufanya vurugu umesema vizuri.
 
Shida ya mdee ni hulka yake.
TUNAPINGA aina yoyote ya udhalilishaji na utesi wa akina mama.Na wale wote waliofurahia kitendo hichi za kidhalimu ni wa kuogopwa kama ukoma.Vyombo vyetu vijifunze kutumia nguvu ya kiasi kutekeleza majukumu yao.
 
Hayawezi kumkuta kwasababu kwa maelezo aliyotoa hapo juu yeye hawezi kuvunja sheria za nchi,wanaokumbana na mambo ya hivyo ni watu wajinga wajinga na wapenda sifa kama kina Mdee na wenzake wapiga ganja.

macson
Hujafa hujaumbika, siku hazigandi
 
Back
Top Bottom