Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

Japo ana mapungufu ila JK alikuaga ana akili sana, yaani anawaacha msemeee we ye anajua atawashika wapi.
Yeah, aliwashikia kwa Ulimboka na walimu aliwaasa za kuambiwa wachanganye na za kwao vinginevyo polisi watawatoa ngeu. Vichwa vya panzi akija raisi mwingine mtasema "aheri magu yeye hakuwa akitumia nguvu".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Updates #Kutoka_Hospital

Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan.

Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
Aliyataka mwenyewe! Tena hawajampa kibano cha kutosha! Lakini nafikiri sasa watakuwa wakienda Magereza na adabu. Sijui kwa nini hawajamharibu sura kabisa na huyo shoga yake Bulaya?
 
TUNAPINGA aina yoyote ya udhalilishaji na utesi wa akina mama.Na wale wote waliofurahia kitendo hichi za kidhalimu ni wa kuogopwa kama ukoma.Vyombo vyetu vijifunze kutumia nguvu ya kiasi kutekeleza majukumu yao.
Mkuu ni kweli si jambo jema mwanamke kupigwa, tena kupigwa na mwanamume...

Lakini alichokifanya halima na wenzake siku ya tukio, hakikupaswa kuchekewa,

Ni vizuri nae akajifunza kutofautisha mazingira ya kufanyia siasa.
 
Mr Big,
Ukishachanganya tabaka mbili za wasio na elimu na wasiokuwa na ajili. Inategemea kupata Nini?
 
Hata kama walikuwa na makosa lakini kile siyo kipigo ilikuwa ni kukomoa, utafikri askari magereza walikuwa walikuwa wanataka wajionyeshe kuwa nao wapo.

Kwa mtu mwenye mafunzo kabisa na mwenye akili zake timamu na anayezingatia maadili yake ya kazi hawezi akamshushia kipigo kizito namna ile mtuhumiwa ambaye hana silaha yoyote tena mwanamke kama vile anaua nyoka, kipigo cha namna hii hata polisi hawawezi wakafanya upumbavu wa namna hii.
 
Mkuu ni kweli si jambo jema mwanamke kupigwa, tena kupigwa na mwanamume...

Lakini alichokifanya halima na wenzake siku ya tukio, hakikupaswa kuchekewa,

Ni vizuri nae akajifunza kutofautisha mazingira ya kufanyia siasa.
Hapana.Ata Mh.Dkt Polepole naye aliende magereza kumpokea Dkt.Mashinji.Na aliambatana na ujumbe wa watu wengi.Na alifanya mahohiano ya kina na wandishi wa khabari.

Hakuna namna yeyote ya kuhalalisha upigaji wa wanawake.
 
Mkuu ni kweli si jambo jema mwanamke kupigwa, tena kupigwa na mwanamume...

Lakini alichokifanya halima na wenzake siku ya tukio, hakikupaswa kuchekewa,

Ni vizuri nae akajifunza kutofautisha mazingira ya kufanyia siasa.
walifanya kitu gani ambacho walisitahili kupewa kipigo kama kile?
Maana yake kipigo kinachoruhusiwa kwa mtuhumiwa ni kile kisicholeta madhara makubwa kwa mtuhumiwa.

Ndo maana kuna maji yanayotumika kuwatawanya watu wa namna hiyo, kuna mabomu yanayotoa machozi, kuna farasi wanaotumika kutawanya mkusanyiko wa watu.
 
Tamko linadai kuwa ilitumika nguvu ya wastani. Swali la kujiuliza, nguvu ya wastani kumtoa mtu kwenye gari kisha kumvunja mkono na mwingine unafanyia gwaride juu ya mgongo wake. Kwanini usiende hata chuo cha uongo ili uongo wako uendane na ukweli japo kidogo?

Maendeleo hayana vyama.
 
Ooh sawa.
 
Inzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah sijui mtaongozwa na Nani..Mwenyekiti wenu ameshatubu mbele ya Padri tayari..na nyie tubuni makabisani na misikitini..mtaumia
[/QUOTE
Angalizo kama wewe njagu hamishia familia mafichoni mlivyo choka mbaya wengine mtanasa kama kuku wa mdondo tutakapolianzisha
 
sijaelewa hii, maana niliona alivotoka segerea akaenda chaman kuongea na watu, then kesho yake akaenda kuwapokea wengine waliotoka segerea, halafu baadae ndo akaenda hospitali.
inamaana alivunjwa mkono wakati anaenda segerea au ktk pilika pilika za kuwapokea wenzake? hebu nieleweshen kidogo hapo
 
Sisi ki kwetu kupiga mwanamke ni mwiko...unadharaulika na familia na ukoo unakutenga.

Serikali ya Mzee Meko imeyumba!! Unampiga mwanamke asiye na silaha hadi unamvunja mkono.

CCM ni lazima mjitathimini...mmeyumba mno!!
 
sijaelewa hii, maana niliona alivotoka segerea akaenda chaman kuongea na watu, then kesho yake akaenda kuwapokea wengine waliotoka segerea, halafu baadae ndo akaenda hospitali.
inamaana alivunjwa mkono wakati anaenda segerea au ktk pilika pilika za kuwapokea wenzake? hebu nieleweshen kidogo hapo
CCM mna hofu gani? Kama wananchi wanapenda why all these!!
 
Aliyewadanganya kwamba CHADEMA ndo wananchi/raia wa Tanzania ndo anaewaponza, the majority tupo tumetulia mje mkianzishe muone maana halisi ya nguvu ya umma, wamefanya fujo gerezani ulitaka wachekewe? Ogopa sana KM na wala sio polisi mlozoea kuwatukana kila siku.

Bandiko la askari magereza wa CCM lajulikana hata bila ya utambulisho.

Mkuu umesomeka kikamilifu.
 
Back
Top Bottom