Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,012
Huo ndio mkono wa Halima???
Huo ndio mkono wa Halima???
naona sasa umeamua kujiripua kabisa na kujionenya kuwa u mbwa koko maana hayo ndiyo yaliyojaza nafsi yako! Kama hamtaki kipigo basi mtii sheria na maelekezo bila shuruti! Mmeachiwa kutoka jela! badala ya kwenda kutulia na familia zetu huku mki'reflect' yaliyojili…no, mnaanza kuwashwa ni kuchezea masharubu ya simba, mkibutuliwa mnaanza kulalama na kutukana!Wewe mbwa koko wa kotas utaingia kwenye 18 Siku si nyingi. Sasa tunamfahamu Casian aliyempiga mtama bulaya. Jeshi usu la kanda maalum liko kazini subirini kidogo
wameiokota kwenye mitandao hapa ni source walipoikota mkuuHuo ndio mkono wa Halima???
Katika hii dunia kuna watu wameumbwa kuwa watuwa wa wenzao. Utumwa wenyewe sio ule wa wakoloni ila ni ututwa wa akili. Mtu anaeza akawa ananufaika kidogo katoka utumwa wake ila akijidai ni mwenye Jazba sana pale maslahi ya system aloko yanapoguswa.
Hudhani ananufaika kumbe ana anamnufaisha boss tuu. Hebu muulize huyo police alofanya hivyo kipi kitaongezeka kwake ni hakuna. au muulize Mdee jee kanufaika nini alipokuwa huko kwenye kuto tii sheria (kama hayo ni ya kweli) ni hakuna.
Nakumbuka siku moja mahali nikiwa nafanya kazi palitokea kuharibiwa kitu na wafanyakazi wenzangu wakata kulipwa kwa kile kilichoharibiwa kwasababu aloharibu sio muhusika wa pale. Bosi anapigiwa simu anajibu kuwa hakikisheni kina lipwa hata kama ni kumpiga mpigeni.
Akawa anawapigia wafanyakazi mmoja mmoja kama kuwajaza jazba kuwa tuhakikishe tunakiwasha alipo piga kwangu nikamsikiliza alafu nikaondoka kwenda nyumbani baada ya kuskia kauli yake ya kijinga eti huyo mtu asiwashinde nguvu mpigeni ikibidi.
Nikafikiria nacho gain kutokana na sysyem yenyewe ni kama hakuna alafu eti nikaanzishe vurugu kisa mjinga alo kaa zake nyumbani..
Nani mvuta Bangi kati yenu, wewe unayekurupuka kwa Chuki zako dhidi yao ilihali hawakuwepo gerezani au wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunalaani vitendo hivi….
Tatizo la watanzania Ni wanafiki sana. Hivi Halima Mdee angekaa nyumbani kwake au ofisini na Mbowe angetoka tu kungeharibika nini. Punguzeni ujinga. Mambo mnayapanga matokeo mnayashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nisiwe mpole kwanini kwa hawa watu hatari kama hawa. View attachment 1389219tatizo hii nchi kuna wajinga wengi na wapole ambao hata uwafanyaje wanaona sawa tu...sisi wananchi tumekua wapole mno kiasi kwamba wanafanya wanachotaka
Usiwe kama mbwehe! Hivi kina Polepole walilazimisha kuingia gerezani na kumtoa Mashinji kwa nguvu?Acha kuwa kasuku unayefuatisha maneno ya anayekufuga(Dikteta Jiwe)!
Wakti Mashinji anatoka tuliona Polepole na Fisi wenzake wakiingia Segerea na kumtoa Mashinji lakini pia Jiwe alipofanya Unafiki/Usanii wa kumlipia Mhe. Msigwa Polepole pia alikwenda Segerea kumchukua Msigwa.....hawakupigwa mabomu wala kuvunjwa mikono...ila kwa CHADEMA kwenda kumchukua Mhe.Mbowe ni dhambi....! This is nothing else but Double standards...!
ZSasa nisiwe mpole kwanini kwa hawa watu hatari kama hawa. View attachment 1389219View attachment 1389220
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe kama mbwehe! Hivi kina Polepole walilazimisha kuingia gerezani na kumtoa Mashinji kwa nguvu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kuongelea mambo msioyaelewa halima na wenzake walivunja sheria ya magereza wanastahili walichopewa kwa taratibu za magereza
Sent from my iPhone using JamiiForums