Kipigo Kikubwa Kwa Israel Mossad Spy HQ, Na ngome muhimu ya IDF Zimeshambuliwa

Compared to the scourge wrought by Israel upon Lebanon, Hizbullah and Hamas, these casualties are minimal and mere bruises.​
Kwa kutumia ndege na makombora ya mabwana zao wa marekani kuuwa watoto, wanawake, wazee na wagonjwa? Hapo hakuna anaewashinda.
Hii ya uso kwa uso ndiyo msema kweli. Mwaka sasa vijana wa Ghaza wanawahenyesha, watawaweza wababe wao wa miaka yote Hezbollah?

Maawee.
 
Mkuu Mosaid wana locations nyingi za siri duniani.
Kwa hiyo hata kama hiyo ya Israel imechakazwa bado shughuli za kijasusi zinaendelea kama kawaida,na operation za kijeshi zinaendelea pia.
 
Sipo kwenye siasa.

Mimi Muislam.

ndiyo njia yako ya kupunguza machungu hiyo?

Mmedanganywa sana na mazayuni.
Muislamu hlf una shabikia vita? Ivi unawajua hao mashia ww ? Unajua chanzo cha vita ?
 
Kula chumba hiyo we bibi. Mrithi Wa boss wa Hezbollah nae kaliwa kichwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20241005-051229_1.jpg
    123.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…