Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

Aisee nilivyoangalia hiyo profile pict.yako yuko nape..nimekutusi mno..tena mno..na ulichokiandika hapa ndo uharoo kabisa wa kobe...ebu kakojoe ukalale shwain weyee
 
"zelensiki" ni karimu mandonga aliyechangamka. maneno mengi ya tambo,halafu uwanja wa vita anacheza kichapo sio cha kawaida.
 
kwan nan alimvamia mwenzie ?
 
Zelensky alikuwa anaweza kutumia hizi busara toka day 1.
Its too late, na kimahesabu amejua hatoboi.
nan alimvamia mwenzie ? je si alivizia ? maana alipotuhumiwa alisema anafanya mazoez , ss ulitaka Zelewinsky afanye nn kweny uvamiz wa kustukiza ?
 
Yaan mvamiz amshitak aliyevamiwa ? hv hz bangi mnavutia wap ?
 
kwahyo miez 6 ni michache sana ?
 
nan alimvamia mwenzie ? je si alivizia ? maana alipotuhumiwa alisema anafanya mazoez , ss ulitaka Zelewinsky afanye nn kweny uvamiz wa kustukiza ?
Ukraine ilijitia kichwa ngumu kutaka ku join NATO.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Una Mwana sheria !?
 
Jamani tuna HIMARS
 
Kifuatacho ITV ni Poland
 
Kama hivi ndio ingekuwa ndivyo basi Russia na Putin yake ndio waliopaswa kuomba mazungumzo na Ukraine/zelensky so Inakuwaje wanaopigwa ndio wanao ombwa kufanya mazungumzo

Una akili timamu kweli!?

[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…