Hiyo habar umeielewa we pro Russia maana umepata kashimo kadogo tuu unataka kutokea hapo,zelesky alimwambiaga tangu kitambo ,lakin China haikujibu maanake ,karata inayochezwa hapo ni kuiunganisha China na Russia wako kitu ,kimoja,maana hata tukio la Nancy kutua Taiwan ni Russia peke. yake aliyelaan hilo tukio,hivyo wanawekwa kwenye kapu moja la nchi zisizojali Uhuru na democracy ,za nchi nyingine.Kwa taarifa yako vita bado sana hii wako wanajeshi 10000 wa Ukraine wanapokea mafunzo ya kikomsndo UK, wengine 2000 wanchukua mafunzo ya kurusha ndege za kisasa,kinachofanyika sasa hivi ni kumchelewesha Russian Angie kwenye mstar mwekundu ndipo uajua kwa nini sadamu alikiri marekani haishindwa kwa vita Bali siasa pekee ndio inaweza angamiza marekani,Russia kapelekewa himas 12 zimempiga pini hasogei amebaki kulalamika marekani kaingia direct,tulien mtanyooka mwaka huu