Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja.

Very absurd and huge shame for the Country.

Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao.

Anzisheni uraia pacha haraka sana mpate hybrids.
 
Wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki!

Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.

Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!by Shangazi Maria sarungi (Hiki ndicho watu wanachosema)
 
wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki! Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.

Angalia hoja ama maudhui sio mtu, tatizo wabongo vichwa vibovu, piganeni na maudhui. Mfufueni Magufuli basi kama hasira zenu ni kaburi la chato. Tuache upumbavu ili taifa liende mbele.
 
Hahahaaa eti akili kubwa mwanaume mzima kapewa ubunge. Kama kidume mwambieni 2025 akagombe jimbo. Ndio atajua ajui
 
Bashiru ni mkubwa sana subirini 2025 ndio mtajua, mnapanic na inspirational speech na motivation Kwa wakulima, ni hamasa ya kujitambua, hivi mmeoiona risala ya wana mviwata Kwa mgeni rasmi hususani changamoto zao walizoainisha.
 
Angalia hoja ama maudhui sio mtu, tatizo wabongo vichwa vibovu, piganeni na maudhui. Mfufueni Magufuli basi kama hasira zenu ni kaburi la chato. Tuache upumbavu ili taifa liende mbele.
HISTORY WILL NEVER VANISH! IT IS HERE TO STAY INDEFINITELY!
 
wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki! Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!by Shangazi Maria sarungi (Hiki ndicho watu wanachosema)
SIO Leo Hata wakati Wa Magufuli Bashiru ALIKUA na kauli za kimapinduzi.

Hajasema wakulima wasimsifie mama .
Watanzania Akili ni NDOGO sana Mpaka wenye Karatasi za elimu ya Juu nao ni Wa ajabu.

Bashiru amezungumza na ule umoja Wa kutetea maslahi ya Wakulima kuwa wakigeuka kuwa wanasiafia Kila kitu hawatawatetea wakulima Bali watatekwa na Wanasiasa.

Ni kweli Hata vyama vya wafanyakazi vilipoanza kujiingiza kwenye kusifia vilipoteza dirá . Au chama Cha Walimu kimekua ni Tawi la CCM na watawala Kwa AJILI ya kutafuta Teuzi. Lengo la kuundwa limepotea.

Chama cha wakulima ndicho alichokitaka kama kuna tatizo wasimamie Haki za wakulima SIO kusifia Kila kitu badala ya kusimama na watawala .
Ukweli ubaki kuwa ukweli. Bashiru ndio waliochagiza sana mpaka Katiba mpya ikaundiwa tume ya Warioba.
Lakini pia ni watu wangapi wanakufa kutokana na kukosa huduma hospitalini na madawa yanaibiwa.? Ni watu wangapi wanakufa kutokana na mauaji yaliyopo Kutokana na msongo Wa Mawazo na ugumu Wa maisha HUKU Mikopo ikiongezeka na tozo kuwalemea wananchi?

Ni Biashara ngapi zinakufa za watu wadogo wanaotegemea umeme?

Upigaji huu unaendelea ni mbaya kuliko kukataza mikutano ya kisiasa.

Watu wamebaki kumshambulia Bashiru kama vile ameanza kuongea leo?

Magufuli amefanya mambo MAKUBWA sana. Hakuna Rais atafanya mambo MAKUBWA Wa Yale Kwa muda mfupi.
Miradi mingi Hata ubora umepungua sana ukilinganisha na wakati Wa JPM.
Hili halina ubishi. Serikali ya awamu hii inasifiwa BILA matokeo yanayoonekana Kwa wazi. Haina mikakati mana imeweka watu wasio na uchungu na nchi.

Watanzania Kwa kumuenzi Magufuli 2025 inyeshe mvua au jua Wahuni wasipate nafsi mana wanaliangamiza Taifa. Hata Chaguzi za CCM zinazoendelea zimejawa Na Rushwa. Watu wanamapesa kwenye mabegi ya kuhonga wajumbe. Wanataka Nini kama SIO kurudi kwenye Viti na kupora Mali za umma.

Kigwangala ,Kibajaji,Musukuma, n.k. Hata ukiwangalia machonu HAWANA chembe ya utu Wala uadilifu. Ni Wezi kama Wezi wengine. Bashiru ni Msema kweli. Na Mungu atamlinda. Kigwangala Hata yeye wakazi Magu alipanda na kushuka na kubaki akipiga vijembe Sasa anafikiri kuwa anaweza kuteuliwa na mama Kwa kumshambulia Bashiru. Bashiru ni Msafi sio Hao wahuni wengine.
Tumemwelewa Bashiru na tunajua kundi la Wezi linahofia watu waadilifu
 
wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki! Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!by Shangazi Maria sarungi (Hiki ndicho watu wanachosema)
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust[emoji817][emoji818]
 
Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja.

Very absurd and huge shame for the Country.

Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao.

Anzisheni uraia pacha haraka sana mpate hybrids.
Mada nayo inaakisi heading [emoji2827]
 
wewe ndiye una akili finyu sana. Read between lines! Kila mmoja anasema Bashiru yuko sahihi by 1,000,000% lakini ni mnafiki! Yeye alimtukuza Magufuli kuliko hata Mungu wa Mbinguni. Leo anasema wakulima wasiwasifu watawala. Nadhani umeelewa watu wanachopinga. Bashiru ni mnafiki , katili, roho mbaya, muuaji, mtekaji al all filths! leo eti anawaonea hurma wakulima.
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!by Shangazi Maria sarungi (Hiki ndicho watu wanachosema)

Lakini mtu si anaweza kubadilika for good or for bad!!, Bashiru kabadilika for good na sio vinginevyo na kama kabadilika kwa uongo basi hilo ni jambo la moyoni mwa mtu kitu ambacho mtu yeyote hana mamlaka ya kutia neno, hivyo kusema Bashiru ni mnafiki in this case hapo sio sahihi na yatupasa to deal tu na faida au hasara ya kile alichoongea.
 
Bashiru mwizi wa kura hana credibility yeyote zaidi ya povu tuu la kukatiwa mirija, utoporo ulioiba uchaguzi nchi nzima kwa kutumia dola leo unajifanya kuongea haki, upuuzi mtupu

Karma inamtafuna hapo alipo na ndio maana leo kawa mtu wa "haki". 🤣🤣

Do not play with Karma.
 
Alilolisema Bashiru lingekuwa na mashiko na mantiki endapo lingetoka kwa mtu mwingine yeyote tofauti na yeye.
Anachokihubiri Bashiru sasa hivi kwa kupinga ni kile kile ambacho alikuwa akikifanya enzi alipokuwa na mashiko kwenye Chama na nchi.
Hivyo kama kuna kipimo chochote katika hili basi ni unafiki wa wanasiasa katika kutetea maslahi ya matumbo yao.
 
Bashir alikuwa katibu mkuu kiongozi wa marehemu magufuli.
Bado Ana chuki
 
Back
Top Bottom