Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

Kuna kipindi huwa sina akili kabisa. Hadi huwa naomba mtu anisaidie kuweka chumvi kwenye chakula maana nikiweka mimi😂😂😂😂. Na mtu akiweka mimi niki taste naona hakina chumvi kabisa ni lazima niongeze tena kwenye sahani.

Ila kuna kipindi akili zinarudi naanza kupata ladha ya chumvi bila kuzidisha.
Hii imeeeendaaa...
Hiii imeeendaaaaaaaa...
Hii Haina akili kbs 😁😁
 
Andiko lako kwa kiasi fulani halina uhalisia,,, na haliwezi kuwa kipimo cha kujua akili ya mwanamke

Vipi kuhusu wale ambao uwezo wao au upatikanaji wa vyombo vya udongo ni shida?

Vipi kuhusu wale ambao kiasilia hawawisi Chumvi kimaumbile mpaka iwe nyingi, yaan ndio kilema chao?
 
Mboga za majani tunazotumia matembele, kisamvu na majani ya maboga (Nimepanda)
Mchicha na Spinach (Tunanunua)
Naivisha ila sio sanaa, matembele na kisamvu lazima niivishe sana ili zilike tofauti na hizo mboga nyingine
Spinach ile si ya kupika dk1 tu. Maana yanavyojuaga kurendemka
Au unachanganya na chinese cabbage?
 
Acha tu. Mtuvumilie maana wakati mwingine hatupendi kutokuwa na akili sema ma homoni haya yanatuvuruga
Sema akili haina definition ya Moja Kwa moja mwingine ana akili za kulea, mwngn mapishi, mwingine biashara mwingine kujenga uhusiano mzuri na majirani mwingine za 6×6 mwingine kila sehemu yupo partial
 
Ur a wife/ mother material . Mimi nikilaga chakula cha mwanamke halafu nikakuta kina chumvi nyingi basi kitu cha kwanza kabisa ambacho huwaga Nina kuwa na uhakika nacho kuhusu mwanamke huyo ni kwamba ana NONGO( weusi kati kati ya mapaja/ dark under thighs) kwa sababu ni mwanamke asie na akili tu ndio anaweza kuruhusu kuwa na Nongo na mwanamke anae jaza chumvi hana akili kabisa.
Dalili zinaonyesha kuna uongo mkubwa sana hapa kwenye bandiko lako, ila kwa sababu kila mtu anatakiwa kuheshimiwa kwa mawazo yake basi ni sawa
 
Ur a wife/ mother material . Mimi nikilaga chakula cha mwanamke halafu nikakuta kina chumvi nyingi basi kitu cha kwanza kabisa ambacho huwaga Nina kuwa na uhakika nacho kuhusu mwanamke huyo ni kwamba ana NONGO( weusi kati kati ya mapaja/ dark under thighs) kwa sababu ni mwanamke asie na akili tu ndio anaweza kuruhusu kuwa na Nongo na mwanamke anae jaza chumvi hana akili kabisa.
Weusi wa katikati ya mapaja una mahusiano gani na kuweka chumvi nyingi kwenye mboga ?
 
Weusi wa katikati ya mapaja una mahusiano gani na kuweka chumvi nyingi kwenye mboga ?
mwanamke ukiwa na weusi katikati ya mapaja tafsiri yake ni kwamba wewe huna akili kwa sababu wewe ni mchafu. Usafi ndio kipimo cha akili ndio maana wendawazimu wanakula jalalani...

Kuwa na weusi katikati ya mapaja = uchafu = kutokuwa na akili.

Kuzidisha chumvi kwenye mboga = kutokuwa na akili sawa sawa.

Umeelewa au niongeze volume?
 
Andiko lako kwa kiasi fulani halina uhalisia,,, na haliwezi kuwa kipimo cha kujua akili ya mwanamke

Vipi kuhusu wale ambao uwezo wao au upatikanaji wa vyombo vya udongo ni shida?

Vipi kuhusu wale ambao kiasilia hawawisi Chumvi kimaumbile mpaka iwe nyingi, yaan ndio kilema chao?
Wataje majina yao mkuu ili tuwe na uhakika kwamba ur not talking about ghosts
 
Chumvi na mafuta naweka kwa mbali, mboga za majani siivishi sana
Mama angu hapendi anasema sijui kupika mboga, mume wangu atapata shida eti

Akiwa home anapenda kupika mwenyewe
Anajaza mafuta kwenye mchuzi na mimi nakeleka sili!
Unaenda kula kiepe ng'ombe
 
Nikajua ni Mtibeli manake yy hutoa mafunza na angalizo kumbe ni mzee LIKUD
 
Back
Top Bottom