Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

Na umanyema wangu Kigoma napika 😂😂😂 Kanione Instagram nainai_scrumpitious_meals wanyamwezi wanaweza nsansa matobolwa kisamvu cha karanga
🤣🤣🤣 I am following
 
Na umanyema wangu Kigoma napika 😂😂😂 Kanione Instagram nainai_scrumpitious_meals wanyamwezi wanaweza nsansa matobolwa kisamvu cha karanga
Hahahaaa what a small world. Kweli wewe ni bingwa wa mapishi. Salimia boys
 
Chumvi na mafuta naweka kwa mbali, mboga za majani siivishi sana
Mama angu hapendi anasema sijui kupika mboga, mume wangu atapata shida eti

Akiwa home anapenda kupika mwenyewe
Anajaza mafuta kwenye mchuzi na mimi nakeleka sili!
Kumbe dada ephen wewe bado ka binti kabichi jamani!
 
Kupika ni ujuzi. Yeyote anaweza kupika akijifunza.

Hatupimi akili kwa kuangalia ujuzi, tunapima akili kwa kuangalia uwezo wa kutatua matatizo

Kwahiyo utaijua akili ya mwanamke baada ya kuishi nae kwa muda/kumzoea
 
Opposite is true. Mwanamke anayejikita Sana kwenye kubobea kwenye mapishi akili yake hata Kijiko Cha chai haijai. Sanasana anachojia ni kwenda kwa waganga kutafuta malimbwata ili uone utamu unanoga. Mwanamke asiyemjuzi Sana wa kupika ni wife material ,anapenda maendeleo ya watoto na mme wake na ni mcha mungu
Nafkir hujamuelewa prof LIKUD , Yeye amezungumzia kuyapiga mapishi kwa ubora, Coz unaweza ukawa unajua kupiga lakini kutokana kukosa akili ukafanya mistake ndogo ndogo zinazoweza kugharimu maisha ya watu, mfano kuna baadhi ya wapishi, hususani kwa mama ntilie huwa wanaweka vyakula vya moto kwenye vyombo vya plastic

Makosa kama hayo ndo yabadhihirisha kuwa hawa watu hawana akili

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Sema akili haina definition ya Moja Kwa moja mwingine ana akili za kulea, mwngn mapishi, mwingine biashara mwingine kujenga uhusiano mzuri na majirani mwingine za 6×6 mwingine kila sehemu yupo partial
Huyo wa 6×6 nilimpenda hadi nikawa nashitukia kuwa ananiroga!
Mapenzi ni upumbaf na ubatili mtupu isee!
 
Chumvi na mafuta naweka kwa mbali, mboga za majani siivishi sana
Mama angu hapendi anasema sijui kupika mboga, mume wangu atapata shida eti

Akiwa home anapenda kupika mwenyewe
Anajaza mafuta kwenye mchuzi na mimi nakeleka sili!
Muelimishe zaidi
 
Hizo mboga ambazo huivishi umepanda mwenyewe kwenye bustani yako?
Wengi tu wanaopanda mboga zao wenyewe kwenye bustani zao bado wanaziivisha kama uji, Waswahili bado sana kwenye suala la mapishi ya afya.
 
Sema akili haina definition ya Moja Kwa moja mwingine ana akili za kulea, mwngn mapishi, mwingine biashara mwingine kujenga uhusiano mzuri na majirani mwingine za 6×6 mwingine kila sehemu yupo partial
Akili ya chakula bora/mlo bora na mapishi ya kiafya ni ya msingi kabisa tofauti na hayo mambo mengine.
 
Back
Top Bottom