Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

Hii imeeeendaaa...
Hiii imeeendaaaaaaaa...
Hii Haina akili kbs 😁😁
 
Andiko lako kwa kiasi fulani halina uhalisia,,, na haliwezi kuwa kipimo cha kujua akili ya mwanamke

Vipi kuhusu wale ambao uwezo wao au upatikanaji wa vyombo vya udongo ni shida?

Vipi kuhusu wale ambao kiasilia hawawisi Chumvi kimaumbile mpaka iwe nyingi, yaan ndio kilema chao?
 
Mboga za majani tunazotumia matembele, kisamvu na majani ya maboga (Nimepanda)
Mchicha na Spinach (Tunanunua)
Naivisha ila sio sanaa, matembele na kisamvu lazima niivishe sana ili zilike tofauti na hizo mboga nyingine
Spinach ile si ya kupika dk1 tu. Maana yanavyojuaga kurendemka
Au unachanganya na chinese cabbage?
 
Acha tu. Mtuvumilie maana wakati mwingine hatupendi kutokuwa na akili sema ma homoni haya yanatuvuruga
Sema akili haina definition ya Moja Kwa moja mwingine ana akili za kulea, mwngn mapishi, mwingine biashara mwingine kujenga uhusiano mzuri na majirani mwingine za 6×6 mwingine kila sehemu yupo partial
 
Dalili zinaonyesha kuna uongo mkubwa sana hapa kwenye bandiko lako, ila kwa sababu kila mtu anatakiwa kuheshimiwa kwa mawazo yake basi ni sawa
 
Sasa mimi ninazo akili za hizo namba ulizoandika hapo😂😂😂
Mikwara tu😁ikipigwa matrix two by two one for the shingo two for the finga unazimia.....lkn mbele ya keyboards sasa
 
Weusi wa katikati ya mapaja una mahusiano gani na kuweka chumvi nyingi kwenye mboga ?
 
Weusi wa katikati ya mapaja una mahusiano gani na kuweka chumvi nyingi kwenye mboga ?
mwanamke ukiwa na weusi katikati ya mapaja tafsiri yake ni kwamba wewe huna akili kwa sababu wewe ni mchafu. Usafi ndio kipimo cha akili ndio maana wendawazimu wanakula jalalani...

Kuwa na weusi katikati ya mapaja = uchafu = kutokuwa na akili.

Kuzidisha chumvi kwenye mboga = kutokuwa na akili sawa sawa.

Umeelewa au niongeze volume?
 
Wataje majina yao mkuu ili tuwe na uhakika kwamba ur not talking about ghosts
 
Chumvi na mafuta naweka kwa mbali, mboga za majani siivishi sana
Mama angu hapendi anasema sijui kupika mboga, mume wangu atapata shida eti

Akiwa home anapenda kupika mwenyewe
Anajaza mafuta kwenye mchuzi na mimi nakeleka sili!
Unaenda kula kiepe ng'ombe
 
Nikajua ni Mtibeli manake yy hutoa mafunza na angalizo kumbe ni mzee LIKUD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…