Kipindi cha Hayati Magufuli ufisadi ulikuwa wa kutisha ila bahati yake tu alizima Vyombo vya Habari kumulika Ufisadi huo

Uko Sawa kichwani kweli???
 
Hiyo ndiyo bahati? Bahati ni kitu kinachotokea bila kutarajiwa, kukusudiwa wala kupangwa. Hiyo ya kudhibiti njia zote za upashanaji habari haikuwa bahati kwani ni mkakati ulioandaliwa na kutekelezwa kwa nguvu na bila huruma kwa madhumuni ya kuficha mambo mengi mabaya yaliyopangwa kutekelezwa dhidi ya baadhi ya raia wema na dhidi ya maslahi mapana ya taifa.
 
Acha kujizima data mwizi wewe
 

Kipindi gani tanzania haikuwa na ufisadi wa kutisha?
 
Kwa kuyajuwa haya ndiyo maana Mungu alimtoa DHALIMU Magufuli kwenye macho ya Watanzania na kumpeleka jehanam.

Aendelee kuungua na moto huko aliko
 
Sio kweli unayo andika, John Pombe Magufuli alikuwa Rais Bora wa wakati wote.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe 2009 Magufuli alikuwa Rais, na hamsemi!
 
Watu hawakusema,wanahabari walinyamaza hatimaye mawe yanaongeaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pale mabibo kuna wajasilia mali wa kukodisha viatu vya kuingia Sokoni.Angekuepo si ajabu pangejengwa soko au ingemwagwa zege la kuinua huku maji yakipewa mfereji.
 
Tunaweka record iwe reference isije ikatokea kanisa katoliki wakakosea kumfikilia eti ni mwenyeheri bila kuwa na information sahihi
Sasa kanisa linakuhusu Nini??!! Ucha unafiki na utakufa Kwa unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…