Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Huyu jamaa kipindi za zama hizo... alikua na uwezo wa kuvaa vizuri hiyo kombat na kuanza Kuongea???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa kipindi za zama hizo... alikua na uwezo wa kuvaa vizuri hiyo kombat na kuanza Kuongea???
Uko Sawa kichwani kweli???Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
Kichwa Gani. Mana Kuna vichwa vingi sana. Mfano kichwa Cha habari, u...bo, nkUko Sawa kichwani kweli???
Hiyo ndiyo bahati? Bahati ni kitu kinachotokea bila kutarajiwa, kukusudiwa wala kupangwa. Hiyo ya kudhibiti njia zote za upashanaji habari haikuwa bahati kwani ni mkakati ulioandaliwa na kutekelezwa kwa nguvu na bila huruma kwa madhumuni ya kuficha mambo mengi mabaya yaliyopangwa kutekelezwa dhidi ya baadhi ya raia wema na dhidi ya maslahi mapana ya taifa.Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
Acha kujizima data mwizi weweHebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
mwamba wa kudhulumu wanyonge, we mbona zuzu hivyo? Unaumwa>Kweli JPM alikuwa MWAMBA!
Itachukuwa miaka na miaka kumpata kama yule😣😩😪
Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
we ulimjulia wapi, wasukuma ni washamba wabinafsi. Kwa hiyo msukuma akifanya dhuluma km Mpina ni mzalendo? Na atakipata yule jizi, shenzy nyie
Wanabaki wanahangaika kufuta yasiyofutikaSasa nimeamini JPM alikuwa Mwamba aisee amesaidia Sana nchi kupiga hatua
Kipindi Cha nyerereKipindi gani tanzania haikuwa na ufisadi wa kutisha?
Hata taarifa ya habari huielewi? Unataka ushahidi gani tena we zuzu?Weka evidence ya huo ufisadi ili uonekane ni mtu mwenye akili timamu kaongea.
Kipindi Cha nyerere
Kwa kuyajuwa haya ndiyo maana Mungu alimtoa DHALIMU Magufuli kwenye macho ya Watanzania na kumpeleka jehanam.Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
Sio kweli unayo andika, John Pombe Magufuli alikuwa Rais Bora wa wakati wote.Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
Watu hawakusema,wanahabari walinyamaza hatimaye mawe yanaongea😂😂Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm.
Makonda ameliza wengi ikiwemo clouds. Leo hii anamiliki manumba na apartments kibao huko madale na amepangisha wazungu ( pale karibu na kituo Cha polisi jirani na mother of mercy schools).
Sabaha katoboa watu macho na masikio n kudhululumu Mali za mabank na watu binafsi.
Pesa na plea bargain zimetoroshwa china.
Ila jpm alichokiweza ni kuwafanya watu wamuogope ndo mana ilionekana kwa laymen kwamba ni mwamba.
ndio alikoipeleka huko,Kaichukueni kule zenji mliposamehe za tanesco
Sasa kanisa linakuhusu Nini??!! Ucha unafiki na utakufa Kwa unafikiTunaweka record iwe reference isije ikatokea kanisa katoliki wakakosea kumfikilia eti ni mwenyeheri bila kuwa na information sahihi