Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

Kwa kweli nakazia hapo mwisho ulivyomalizia yule jamaa hakika alileta titizo kubwa mno bora hata alivyotangulia . Wahitimu wa mwaka 2015 , 2016 na 2017 . Mtaani wengi maisha yao yameyumba ukiangalia vizuri sababu ni lile jamaa .
 
Unamtetea jiwe rais wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania, jiwe alikuwa ni WA ovyo na mbaguzi, , alifukuza wafanyakazi hewa na vyeti feki lakini hakufanya replacement , akaajiri watu wa kabila lake , wasukuma wote ambao nimesoma nao, na niliokutana nao katika harakati za kusaka ajira walipata kazi, Mungu ni wa wote akafanya yake.
 
Sikatai lakini pia na yeye angefikia Kokomo. Unawahitimu zaidi ya laki moja Kwa mwaka then Pato lako la taifa karibia 70% linalipa Deni la taifa na mishahara na posho Kwa watumishi alafu uwe na uthubu wa kuajiri kama mnavyofikiria
Hakurithi mfumo wa JK, alianza ya kwake ambayo ni uharibifu, jiwe kiti cha urais hakikumtosha kabisa
 
Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyo
 
Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyo
[emoji38][emoji38][emoji38] da Huwa nasikitika sana yani, ambao nilikuwa nipo nao karibu waliaajiriwa, tuwe tunapiga maombi kwa jiwe kuondoka duniani mana alikokuwa analipeleka Ili taifa ni kubaya zaidi. Angeweza kufanya Ili taifa kama Rwanda na Burundi,.
 
Katika utafiti wangu mdogo, nimebaini kwamba Walimu ambao wamekumbwa na tatizo kubwa zaidi la ukosefu wa ajira ni wale ambao waliosomea Masomo ya Sanaa (Arts). Wale waliosomea Masomo ya Sayansi na wamefaulu vizuri katika masomo yao, tatizo hili la ukosefu wa ajira linaonekana kuwa siyo kubwa sana kwao.
Wito: Someni Masomo ya Sayansi, kwani yana uwanja mpana wa kujiajiri au kuajiriwa, hata nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Sasa hivi tunao physics kibao mtaani hawana ajira
 
Hahaaaaaaa
Usicheke, kunajambo nalihisi kutoka kwako once ukiniambia maendeleo ni nini nitakuwa rahisi kukujibu. Nimalizie tu Kwa kusema huwezi kuwaajiri wahitimu wote wa vyuo vikuu. Kama tu waajiriwa hawajafikia hata laki 7 lakini karibia 40% ya Pato la nchi linaishia Kwa ajili ya mishahara na posho Tena hapo ni na kuwabania kwenye nyongeza za mishahara, kupandiahwa vyeo just imagine wangeajiriwa watumishi milioni moja na nusu. Alafu msisahau watanzia sio watumishi tu, wapo pia wakulima Tena ndio wengi kuliko
 
UDOM ilikuwepo?
 
Hai wasomi wangapi!?..kama 60% ya GDP siyo matumizi,hiyo no hatua kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…