Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

Kwa kweli nakazia hapo mwisho ulivyomalizia yule jamaa hakika alileta titizo kubwa mno bora hata alivyotangulia . Wahitimu wa mwaka 2015 , 2016 na 2017 . Mtaani wengi maisha yao yameyumba ukiangalia vizuri sababu ni lile jamaa .
 
Ni wakati huo, hata kama JK angekuwa madarakani mpaka Leo na yeye asingeweza kuajiri wahitimu wote. Tubadili tu mfumo wa elimu yetu. Ila wazazi na sisi tujiongeze hususasi sisi ngozi nyeusi haiwezekani umsomeshe mtoto Kwa mamilioni ya pesa alafu eti mtoto amalize chuo kikuu then akajitolee sehemu miaka na miaka akisubiri ajira ya Serikali. Tujiongeze
Unamtetea jiwe rais wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania, jiwe alikuwa ni WA ovyo na mbaguzi, , alifukuza wafanyakazi hewa na vyeti feki lakini hakufanya replacement , akaajiri watu wa kabila lake , wasukuma wote ambao nimesoma nao, na niliokutana nao katika harakati za kusaka ajira walipata kazi, Mungu ni wa wote akafanya yake.
 
Sikatai lakini pia na yeye angefikia Kokomo. Unawahitimu zaidi ya laki moja Kwa mwaka then Pato lako la taifa karibia 70% linalipa Deni la taifa na mishahara na posho Kwa watumishi alafu uwe na uthubu wa kuajiri kama mnavyofikiria
Hakurithi mfumo wa JK, alianza ya kwake ambayo ni uharibifu, jiwe kiti cha urais hakikumtosha kabisa
 
Unamtetea jiwe rais wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania, jiwe alikuwa ni WA ovyo na mbaguzi, , alifukuza wafanyakazi hewa na vyeti feki lakini hakufanya replacement , akaajiri watu wa kabila lake , wasukuma wote ambao nimesoma nao, na niliokutana nao katika harakati za kusaka ajira walipata kazi, Mungu ni wa wote akafanya yake.
Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyo
 
[emoji38][emoji38][emoji38] da Huwa nasikitika sana yani, ambao nilikuwa nipo nao karibu waliaajiriwa, tuwe tunapiga maombi kwa jiwe kuondoka duniani mana alikokuwa analipeleka Ili taifa ni kubaya zaidi. Angeweza kufanya Ili taifa kama Rwanda na Burundi,.
 
Jk tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.

Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Katika utafiti wangu mdogo, nimebaini kwamba Walimu ambao wamekumbwa na tatizo kubwa zaidi la ukosefu wa ajira ni wale ambao waliosomea Masomo ya Sanaa (Arts). Wale waliosomea Masomo ya Sayansi na wamefaulu vizuri katika masomo yao, tatizo hili la ukosefu wa ajira linaonekana kuwa siyo kubwa sana kwao.
Wito: Someni Masomo ya Sayansi, kwani yana uwanja mpana wa kujiajiri au kuajiriwa, hata nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Katika utafiti wangu mdogo, nimebaini kwamba Walimu ambao wamekumbwa na tatizo kubwa zaidi la ukosefu wa ajira ni wale ambao waliosomea Masomo ya Sanaa (Arts). Wale waliosomea Masomo ya Sayansi na wamefaulu vizuri katika masomo yao, tatizo hili la ukosefu wa ajira linaonekana kuwa siyo kubwa sana kwao.
Sasa hivi tunao physics kibao mtaani hawana ajira
 
Hahaaaaaaa
Usicheke, kunajambo nalihisi kutoka kwako once ukiniambia maendeleo ni nini nitakuwa rahisi kukujibu. Nimalizie tu Kwa kusema huwezi kuwaajiri wahitimu wote wa vyuo vikuu. Kama tu waajiriwa hawajafikia hata laki 7 lakini karibia 40% ya Pato la nchi linaishia Kwa ajili ya mishahara na posho Tena hapo ni na kuwabania kwenye nyongeza za mishahara, kupandiahwa vyeo just imagine wangeajiriwa watumishi milioni moja na nusu. Alafu msisahau watanzia sio watumishi tu, wapo pia wakulima Tena ndio wengi kuliko
 
Jk tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.

Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
UDOM ilikuwepo?
 
Usicheke, kunajambo nalihisi kutoka kwako once ukiniambia maendeleo ni nini nitakuwa rahisi kukujibu. Nimalizie tu Kwa kusema huwezi kuwaajiri wahitimu wote wa vyuo vikuu. Kama tu waajiriwa hawajafikia hata laki 7 lakini karibia 40% ya Pato la nchi linaishia Kwa ajili ya mishahara na posho Tena hapo ni na kuwabania kwenye nyongeza za mishahara, kupandiahwa vyeo just imagine wangeajiriwa watumishi milioni moja na nusu. Alafu msisahau watanzia sio watumishi tu, wapo pia wakulima Tena ndio wengi kuliko
Hai wasomi wangapi!?..kama 60% ya GDP siyo matumizi,hiyo no hatua kubwa sana
 
Back
Top Bottom