jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Anaropoka tu huyoUchumi feki nchi ikijengeka kila kona,nagari ikawa kawida kwa watanzania, GDP ikapaa,wakulima wakaishi maisha mazuri,miundombinu ikajengwa,fdi ikamiminika...acha ujinga babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaropoka tu huyoUchumi feki nchi ikijengeka kila kona,nagari ikawa kawida kwa watanzania, GDP ikapaa,wakulima wakaishi maisha mazuri,miundombinu ikajengwa,fdi ikamiminika...acha ujinga babu
Maendeleo ni nini!?Najua akili yako inakutuma maendeleo ya watu na sio vitu. Lakini maendeleo ya miundombinu nk ni muhimu Sana Kwa hayo maendeleo ya watu
'Mazuri yangu yanapofika muda wake yanapopaswa kusemwa basi na yaseeemwe... Ee ukipenda kula na wewe basi uwe tayari kuliwa'Lete Maneno......
By JK Wa Msoga Chalinze
Unamtetea jiwe rais wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania, jiwe alikuwa ni WA ovyo na mbaguzi, , alifukuza wafanyakazi hewa na vyeti feki lakini hakufanya replacement , akaajiri watu wa kabila lake , wasukuma wote ambao nimesoma nao, na niliokutana nao katika harakati za kusaka ajira walipata kazi, Mungu ni wa wote akafanya yake.Ni wakati huo, hata kama JK angekuwa madarakani mpaka Leo na yeye asingeweza kuajiri wahitimu wote. Tubadili tu mfumo wa elimu yetu. Ila wazazi na sisi tujiongeze hususasi sisi ngozi nyeusi haiwezekani umsomeshe mtoto Kwa mamilioni ya pesa alafu eti mtoto amalize chuo kikuu then akajitolee sehemu miaka na miaka akisubiri ajira ya Serikali. Tujiongeze
AbsolutelyJk alikua na mipango ya kutengeza ajira delta binafsi kwa kutengeza middle class wengi,akaja yule akavuruga kila kitu
Hakurithi mfumo wa JK, alianza ya kwake ambayo ni uharibifu, jiwe kiti cha urais hakikumtosha kabisaSikatai lakini pia na yeye angefikia Kokomo. Unawahitimu zaidi ya laki moja Kwa mwaka then Pato lako la taifa karibia 70% linalipa Deni la taifa na mishahara na posho Kwa watumishi alafu uwe na uthubu wa kuajiri kama mnavyofikiria
Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyoUnamtetea jiwe rais wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania, jiwe alikuwa ni WA ovyo na mbaguzi, , alifukuza wafanyakazi hewa na vyeti feki lakini hakufanya replacement , akaajiri watu wa kabila lake , wasukuma wote ambao nimesoma nao, na niliokutana nao katika harakati za kusaka ajira walipata kazi, Mungu ni wa wote akafanya yake.
Bakhresa na matajiri ndio walikuwa wanalipa mishahara waajiriwa.Ndo aliharibu kila kitu,aliajiri zaidi ya uwezo wa serekali kulipa,huwezi lundika walimu bila kuangalia ability to pay on long run
[emoji38][emoji38][emoji38] da Huwa nasikitika sana yani, ambao nilikuwa nipo nao karibu waliaajiriwa, tuwe tunapiga maombi kwa jiwe kuondoka duniani mana alikokuwa analipeleka Ili taifa ni kubaya zaidi. Angeweza kufanya Ili taifa kama Rwanda na Burundi,.Hata usalama.wa taifa alianiri wasukuma tu. Mfano ni jamaa anaitwa Florian nzangizyo
Tuanzie kwako ili nikuelewe maendeleo ni niniMaendeleo ni nini!?
HahaaaaaaaTuanzie kwako ili nikuelewe maendeleo ni nini
Katika utafiti wangu mdogo, nimebaini kwamba Walimu ambao wamekumbwa na tatizo kubwa zaidi la ukosefu wa ajira ni wale ambao waliosomea Masomo ya Sanaa (Arts). Wale waliosomea Masomo ya Sayansi na wamefaulu vizuri katika masomo yao, tatizo hili la ukosefu wa ajira linaonekana kuwa siyo kubwa sana kwao.Jk tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Sasa hivi tunao physics kibao mtaani hawana ajiraKatika utafiti wangu mdogo, nimebaini kwamba Walimu ambao wamekumbwa na tatizo kubwa zaidi la ukosefu wa ajira ni wale ambao waliosomea Masomo ya Sanaa (Arts). Wale waliosomea Masomo ya Sayansi na wamefaulu vizuri katika masomo yao, tatizo hili la ukosefu wa ajira linaonekana kuwa siyo kubwa sana kwao.
Endelea kupambana na mtu aliyejinyamazia nadhani utapata ajiraJk alikua na mipango ya kutengeza ajira delta binafsi kwa kutengeza middle class wengi,akaja yule akavuruga kila kitu
Usicheke, kunajambo nalihisi kutoka kwako once ukiniambia maendeleo ni nini nitakuwa rahisi kukujibu. Nimalizie tu Kwa kusema huwezi kuwaajiri wahitimu wote wa vyuo vikuu. Kama tu waajiriwa hawajafikia hata laki 7 lakini karibia 40% ya Pato la nchi linaishia Kwa ajili ya mishahara na posho Tena hapo ni na kuwabania kwenye nyongeza za mishahara, kupandiahwa vyeo just imagine wangeajiriwa watumishi milioni moja na nusu. Alafu msisahau watanzia sio watumishi tu, wapo pia wakulima Tena ndio wengi kulikoHahaaaaaaa
UDOM ilikuwepo?Jk tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Hai wasomi wangapi!?..kama 60% ya GDP siyo matumizi,hiyo no hatua kubwa sanaUsicheke, kunajambo nalihisi kutoka kwako once ukiniambia maendeleo ni nini nitakuwa rahisi kukujibu. Nimalizie tu Kwa kusema huwezi kuwaajiri wahitimu wote wa vyuo vikuu. Kama tu waajiriwa hawajafikia hata laki 7 lakini karibia 40% ya Pato la nchi linaishia Kwa ajili ya mishahara na posho Tena hapo ni na kuwabania kwenye nyongeza za mishahara, kupandiahwa vyeo just imagine wangeajiriwa watumishi milioni moja na nusu. Alafu msisahau watanzia sio watumishi tu, wapo pia wakulima Tena ndio wengi kuliko
Viongozi hawafi,ndiyo maana tunawaita hayati,neno la kiarabu lenye maana ya aliye hai,sababu matendo yao milele yataathiri taifaEndelea kupambana na mtu aliyejinyamazia nadhani utapata ajira