Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

Watu wasichojua kila raisi anakuja na ilani yake ya jk alisema ataajiri walimu na madktari kwa miaka 10 but magu focus yake haikua huko.
 
Soma title yangu vizuri. Nimesema during the kikwete regime no any teacher was left with no employed despite arts or science.
1.Je, wamefaulu vizuri ktk masomo yao waliyosomea?
2.Je, wako "competent" kwenye fani zao walizosomea??
3.Je, Wana sifa zingine stahiki zinazotakiwa ktk fani walizosomea?
 
Lakini haiondoi ukweli kuwa jiwe katengeneza ombwe kubwa sana la ajira huwezi kukaa miaka mitano bila kuajili hali ya kuwa kila mwaka kuna maelfu ya watahiniwa wanamwagwa mitaani.

Na mbaya zaidi yeye kashashindwa kuajili bado akawa muharibifu wa sekta binafisi na zenyewe zikakosa uwezo wa kujiajili kweli wtz tulikuwa tume patikana.

Huyu mama ana kazi kubwa sana ya kuajili watainiwa wa kuanzia mwaka 2015 na wasasa hivi.
Dada zangu wawili walisomea udaktari toka mwaka 2017 wamekuja kuajiliwa mwaka jana duh jiwe alikuwa kiongozi wa hovyo sana.
 
JK kabla hayatoka madarakani alisema kuwa kuanzia Mwaka ujao ajira hazitokuwepo kama Sasa ikiwemo Ualimu kwa hiyo mtu asiwadanganye, nakumbuka ilikua Mwaka 2014.
 
Unapaswa kuwa issue ya ajiri inaendana na ukuaji wa uchumi!
Ajira hazitolewi tu kufurahisha watu au kutotolewa tu kwa makusudi!
Serikali iko makini sana kwenye kuongeza wage bill!
 
Kimsingi aliyeharibu maisha ya watanzania wengi ni huyo ndugu aliyempokea JK kijiti!Sina hakika kama mambo yatakuja kukaa Sawa tena!Tuendelee kumuombea mama kwani hata yeye hana namna kwa vile alikuta kila kitu kimevurugwa!
Na yeye si alikuwa kwenye serikali?
 
Kwa kweli nakazia hapo mwisho ulivyomalizia yule jamaa hakika alileta titizo kubwa mno bora hata alivyotangulia . Wahitimu wa mwaka 2015 , 2016 na 2017 . Mtaani wengi maisha yao yameyumba ukiangalia vizuri sababu ni lile jamaa .
Miaka ya 2006,2007.. ndio shule nyingi za kata zilijengwa kwa hiyo kulikuwa uhitaji mkubwa wa walimu. Vile vile kuajiri kunategemea na uwezo wa kulipa.
 
Nchi inatakiwa kuwa na wafanyakazi bora ....wapumbavu wanawaza ajira badala ya kufanya kazi ....wakati wa kikwete kulikuwa na (ajira isiyo kwa ajili ya kazi) wakati wa jpm kulikuwa na (ajira kwa ajili ya kazi ) ndiyo maana kulikuwa hadi na wafanya kazi hewa...mfano kazi ya kusafisha choo kimoja wizarani ilikuwa na wafanyakazi hadi 40 ..nisawa sawa na kuwa na matrekta 40 ambayo unayatumia kulima heka moja tu kwa mwaka ....hii ndiyo maana nchi inazidi kuwa masikini ...ajira inatakiwa iendane na ufanisi ...mfano shule ina walimu inatakiwa kufundisha kwa ufanisi....siyo wanafunzi asil8mia 80% wanapata dv 0 na 4.
 
Mzee wa msoga kwa hili aliweza sana, mwambie alipo apate soda nitaenda kulipa
 
Tukisema tuajiri kama ikama inavyotaka mf mwalimu mmoja afundishe wanafunzi kadhaa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa kadhaa hatutafanya maendeleo.
Tatizo ni kuwa hujui hiyo inawezekanaje lakini ninyi ndiyo ambao mnang'ang'ana sehemu zenye maamuzi huku hamna mnalojua kuhusu kutengeneza ajira hayo yakawezekana...Adui mkubwa wa watanzania kati ya wale wa nne wa Mwl Nyerere ni UJINGA. watanzania wengi siyo weledi lakini wanajimwabafai. Hakuna kitu kibaya kama uwe hujui kitu na bado hujui kuwa hujui. Kujua kutokujua ndiyo mwanzo wa kuleta suluhisho
 

Na ndio chanzo Cha chawa waliopo Leo. Maana Kuna kundi kubwa la vijana hawana ajira.
 
Hujui utendendalo soma mambo ya nyakati.hakuna hata nchi moja duniani ambayo imeweza kuwapatia ajir a wahitimu wake wote ila tu ungesema ijenge mazingira ya uwekezaji ili wengine wakaajiriwe huko.kwa kuwa serikali yetu ni ya kishetani inajenga mazingira hayo ili itawale milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…