mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Watu wasichojua kila raisi anakuja na ilani yake ya jk alisema ataajiri walimu na madktari kwa miaka 10 but magu focus yake haikua huko.Ni wakati huo, hata kama JK angekuwa madarakani mpaka Leo na yeye asingeweza kuajiri wahitimu wote. Tubadili tu mfumo wa elimu yetu. Ila wazazi na sisi tujiongeze hususasi sisi ngozi nyeusi haiwezekani umsomeshe mtoto Kwa mamilioni ya pesa alafu eti mtoto amalize chuo kikuu then akajitolee sehemu miaka na miaka akisubiri ajira ya Serikali. Tujiongeze