Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

Ajira sio hitaji pekee la Taifa

Awamu Fulani ya serikali inapoipa ajira kipaumbele maana yake Kuna lingine halipewi kipaumbele!

Awamu nyingine ikiondoa kipaumbele kwenye ajira maana yake Jambo lingine litapewa kipaumbele!

Nikukumbushe tu, kipindi Cha JK ndio Ilikuwa kilele cha ajira kada za ualimu na afya!

Usisahau Kuna kada nyingi huko nyuma zilikuwa zinapata ajira lakini huyohuyo JK alishindwa kuwaajiri, means bajeti za ajira Ilikuwa tayari zinabana

Miaka ijayo, Hali itakuwa mbaya zaidi!

Hakutakuwa Tena na ajira za mwendo kasi na za mafungu mafungu serikalini

Nikukumbushe Tena, Mkapa aliajiri wahitimu wote waalimu na Afya, kelele zako kuhusu JK zina maana gani?
 
ISHU

Ni tuungane tupiganie mitaala mipya itakayoandaa wahitimu kujiajiri na sio kubong'oa wakisubiri GVT ifanye JAMBO
 
ISHU

Ni tuungane tupiganie mitaala mipya itakayoandaa wahitimu kujiajiri na sio kubong'oa wakisubiri GVT ifanye JAMBO
Kazi ya serikali ni Nini? Kazi ya serikali iliyo kuu ni kuajiri yaani human welfare. Nakukumbusha tu. Vinginevyo hatuka haja ya kuwa na serikali
 
Kazi ya serikali ni Nini? Kazi ya serikali iliyo kuu ni kuajiri yaani human welfare. Nakukumbusha tu. Vinginevyo hatuka haja ya kuwa na serikali
Si sawa sawa pamoja kwamba jukumu la gvt nikuajiri lakini sikwanjia hiyo unatamani mimi nimependekeza tuhame huko
 
Ndo mana nasema itakuwa anawaka moto uko aliko mana roho za watu zinamlilia, mana Aliua mpaka kampuni za private ,
 
Acha uongo mzee , jiwe alikuwa mbaguzi aliajiri ,sukuma gang
 
Jiwe Aliua private sector ,jiwe alifukuza wafanyakazi wengi na kuweka program ya kujaza sukuma gang kwa kusingizi kwamba ni wafanyakazi, watu wengi wametumia chini ya jiwe ila hawana pakusemea,
 

Nchi ilikua kama takataka ,,nchi ilioza, majambazi watatu wananyang’anya polisi silaha , kila vituo ,, Kibiti ilimshinda, tanga mapango ya amboni,, kifupi ilikua n failed state afu unasema tungeendelea hivo hivo tz ingekua somalia
Unaweza uishi na hiyo ajira sehemu ambayo haina usalama??????

Yaliyoko msumbiji kumbuka ndio yalianzia kibiti??

We naona unafikri kwa kutumia matako si akili ama ulikua hujazaliwa!!
 
Pole Sana mhitimu wa education 😁 mwalimu wa physics
 
"Huko mbeleni serikari haitaweza kuajiri tena walimu wa masomo ya Sanaa" Jakaya Mrisho kikwete: 2015
 
Kutokana na upungu iliyokuwepo serikali iliweka mazingira mazuri ya kuvutia wanafunzi kusomea fani hizo. Vivutio vilikuwa mkopo wa elimu ya juu na Akira za moja kwa moja, sasa kama wataalam wako wa kutosha kwa nini serikali iendelee kuweka mazingira hayo hasa ya mkopo wa elimu ya juu? Serikali unatumia mamilioni ya fedha kuwasomesha mwishowe wanaashia mtaani,huo siyo uharibifu wa rasilimali? Kwa Nini hizo fedha wasipewe vijana wakajikite kwenye ujasiliamali kama inavyosisitiza kwa wahitimu?
 
Mzazi amsomeshe mtoto au serikali? Watoto wengi wanasomeshwa na serikali elimu ya juu kupitia mkopo. Sasa kwa nini serikali isiwe mzazi ikampatia mkopo baada ya kuhitimu? Lakini mtu amesomea ualimu anaambiwa ajiajiri kwenye ujasiliamali, kwa nini huo mkopo asipewe mapema akajikita huko kuliko kupoteza muda vyuoni?
 
Uache kuwaka moto ww na mafisadi wwnzio awake rasi aliyepigania haki???

Na bado jehanamu yenu inakuja
Yupo anangua huko uhakika, roho za watu zinamlilia , atakosaje kuingia kwenye ziwa la moto, na siku ya mwisho tukikutana huko nyie wanafki wote mnaomsapoti tutakuwa tukiwatazama mnavyo ungua moto wa milele huku sisi tukicheka kwa furaha
 
Bado hujasema Hadi useme
 

View: https://www.instagram.com/p/C1EPHnUN4MK/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…