Ajira sio hitaji pekee la TaifaMi nimezungumzia ualimu na udaktari mengini ni kupoteza mda tu. Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu. Waliopo mashulrni hawatoshi angekuwa jk tayari wote walioko mtaani wangeaniriwa tena asingesubiri mrundikane mtaani. Yule bwana alikuwa very sympathetic and humble na alijua maisha halisi ya wanyonge siyo jpm neno wanyonge ilikuwa kuwahadaa tu
Awamu Fulani ya serikali inapoipa ajira kipaumbele maana yake Kuna lingine halipewi kipaumbele!
Awamu nyingine ikiondoa kipaumbele kwenye ajira maana yake Jambo lingine litapewa kipaumbele!
Nikukumbushe tu, kipindi Cha JK ndio Ilikuwa kilele cha ajira kada za ualimu na afya!
Usisahau Kuna kada nyingi huko nyuma zilikuwa zinapata ajira lakini huyohuyo JK alishindwa kuwaajiri, means bajeti za ajira Ilikuwa tayari zinabana
Miaka ijayo, Hali itakuwa mbaya zaidi!
Hakutakuwa Tena na ajira za mwendo kasi na za mafungu mafungu serikalini
Nikukumbushe Tena, Mkapa aliajiri wahitimu wote waalimu na Afya, kelele zako kuhusu JK zina maana gani?