- Thread starter
- #101
Hapana. Huo ni mfano tu lakini wengi waliajiriwa wa upande huoKwahiyo huyo msukuma mmoja ndio sample ya ukabila?Rafiki yangu ni mchaga alipata ajira 2019
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Huo ni mfano tu lakini wengi waliajiriwa wa upande huoKwahiyo huyo msukuma mmoja ndio sample ya ukabila?Rafiki yangu ni mchaga alipata ajira 2019
Sio kweliNdio. UDOM imeanza 2007.
Awamu zizofata zilijaaa maneno matupu na HadaaJK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Kwa hiyo walimu walikuwa wengi wakazidi mahitaji?Ndo aliharibu kila kitu,aliajiri zaidi ya uwezo wa serekali kulipa,huwezi lundika walimu bila kuangalia ability to pay on long run
Na hayo uliyosema sio maendeleo? Akili za Sgang zina shidaTukisema tuajiri kama ikama inavyotaka mf mwalimu mmoja afundishe wanafunzi kadhaa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa kadhaa hatutafanya maendeleo.
Mpigie arudi madarakani maana popular linakutokaJK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Mkapa hakuajiri wote?Na huu ndio ukweli. Sijui kwanini watu wanaopinga hawataki kukubali wanalazimisha Hali hubadilika. Kipindi Cha JK mtu unamaliza ualimu tayari ulishapangiwa kituo Cha kazi. Ilitakiwa tumuulize aliwezaje?. Sio kukimbilia zama zimebadilika.
Fani zingine alishindwa kuajiri!Yes, umenikumbusha mbali Sana. Kipindi Cha JK watu wengi walisoma education kwa sababu ya ajira ya ualimu kuwa nje nje.
Akili fupi inaongelea mambo makubwaKuhusu ajira na ujenzi wa Taifa Bora lenye miundombinu yenye tija kwa maendeleo,
Nyerere-
aliajiri wahitimu wote wa kada zote kwa 100%
Ujenzi kwa kasi ya juu
wahuni wa Taifa walioitesa Tanzania kwa muda mrefu!
RIP JPM
Kamlaumu yule mliyekuwa mnamuita baba yenu.JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.
Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Mipango dogo. Yule bwana alikuwa Hana mipango yoyote linalomjia kichwani lilikuwa hilohilo na aka make sure kwamba bunge ameliweka mfukaoaanai hakuna wa kumhoji hata angesema tumeingia uchumi wa kwanza dunianiKamlaumu yule mliyekuwa mnamuita baba yenu.
Pili idadi ya waliohitomu those days walikuwa wachache kuliko wanaohitimu Sasa hivi.
Mwisho mahitaji yanazidi kupungua
Lakini Samia anaajiri sana pengine kushinda hata JK.Mipango dogo. Yule bwana alikuwa Hana mipango yoyote linalomjia kichwani lilikuwa hilohilo na aka make sure kwamba bunge ameliweka mfukaoaanai hakuna wa kumhoji hata angesema tumeingia uchumi wa kwanza duniani
Jk alikuwa anaajiri zaidi ya elfu 40 walimu tu acha madatariLakini Samia anaajiri sana pengine kushinda hata JK.
Mwaka huu tuu wa Fedha kabla ya June Kuna Ajira zaidi ya 15,000 walimu na watu wa Afya.
Saizi zimetangazwa kazi za mkataba Wizara ya Afya zaidi ya 500.
Nadhani kuna watu bado wanaamini kuwa serikali inawanyima ajira makusudi , ila Kwa uwingi wa uzalishaji wa wahitimu kutoka vyuo vikuu na vya kati nadhani hii haiwezekani Kwa uchumi wa nchi yetu ,UDOM ilikuwepo?
Hicho kiingereza sasa, hahaaSoma title yangu vizuri. Nimesema during the kikwete regime no any teacher was left with no employed despite arts or science.
Mi nimezungumzia ualimu na udaktari mengini ni kupoteza mda tu. Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu. Waliopo mashulrni hawatoshi angekuwa jk tayari wote walioko mtaani wangeaniriwa tena asingesubiri mrundikane mtaani. Yule bwana alikuwa very sympathetic and humble na alijua maisha halisi ya wanyonge siyo jpm neno wanyonge ilikuwa kuwahadaa tuNadhani kuna watu bado wanaamini kuwa serikali inawanyima ajira makusudi , ila Kwa uwingi wa uzalishaji wa wahitimu kutoka vyuo vikuu na vya kati nadhani hii haiwezekani Kwa uchumi wa nchi yetu ,
Tafuta ratio ya jumla ya wahitimu na waajiriwa kipindi Cha JK na kipindi Cha Samia, utajua kuwa JK aliajiri 100% ya waalimu na Samia Ni chini yake.Lakini Samia anaajiri sana pengine kushinda hata JK.
Mwaka huu tuu wa Fedha kabla ya June Kuna Ajira zaidi ya 15,000 walimu na watu wa Afya.
Saizi zimetangazwa kazi za mkataba Wizara ya Afya zaidi ya 500.
Acha upunguani wako basi,tukipiga hizo hesabu Kwa miaka aliyokaa manake unasema Kulikuwa na walimu zaidi ya 400,000 wakati idadi ya walimu Tzn nzima haizidi 300,000.Jk alikuwa anaajiri zaidi ya elfu 40 walimu tu acha madatari
Sasa kama namba ya wahitimu ni kidogo by then Hadi kukawa na program za Special diploma etc ukitegemea wasiajiriwe wote au wengi?Tafuta ratio ya jumla ya wahitimu na waajiriwa kipindi Cha JK na kipindi Cha Samia, utajua kuwa JK aliajiri 100% ya waalimu na Samia Ni chini yake.
Hata hivyo kuisifu Serikali kuajiri Kwa kada moja Ni kuisifia ujinga