Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.

Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Awamu zizofata zilijaaa maneno matupu na Hadaa
 
Mpigie arudi madarakani maana popular linakutoka
 
Na huu ndio ukweli. Sijui kwanini watu wanaopinga hawataki kukubali wanalazimisha Hali hubadilika. Kipindi Cha JK mtu unamaliza ualimu tayari ulishapangiwa kituo Cha kazi. Ilitakiwa tumuulize aliwezaje?. Sio kukimbilia zama zimebadilika.
Mkapa hakuajiri wote?
Mbona umeng'ang'ania kwa JK?
Au uchawa?
Kama JK ni mwamba wa Ajira, iweje aliajiri waalimu na madaktari tu?
Fani zingine Ilikuwa issue kupata ajira!
 
Kuhusu ajira na ujenzi wa Taifa Bora lenye miundombinu yenye tija kwa maendeleo,

Nyerere-
aliajiri wahitimu wote wa kada zote kwa 100%
Ujenzi kwa kasi ya juu

Wizi na uzembe serikalini chini ya 20%

Mwinyi-
Aliajiri wahitimu wote wa kada zote kwa 100%
Ujenzi ulishuka chini ya 30% ya nyerere
Kulikuwa na mporomoko mkubwa wa yale yaliyojengwa

Wizi na uzembe serikalini Ni 100%

Mkapa-
Ajira kwa kada za kijamii zilianza kushuka zilipatikana walau kwa % zaidi ya 50
Ajira kwa kada sayansi na ualimu ziliendelea kwa 100%
Ujenzi ulipanda walau kwa 45% ya Nyerere

Wizi na uzembe serikalini vilikuwa chini ya 50%

Kikwete-
Ajira kwa kada za kijamii zilishuka chini ya 50%
Ajira kwa kada za sayansi na ualimu ziliendelea kwa 100% ingawa ajira ya ualimu kwa mwaka 2015 ilianza kutia hofu, ilikuja kwa kuchelewa zaidi. Na bila shaka ililazimishwa kwasababu ya uchaguzi, Ila tayari kulikuwa na mkwamo serikalini

Ujenzi ulikuwa walau kwa 50% ya Nyerere

Wizi na uzembe serikalini Ni 100%

Magufuli
Ajira kwa kada za kijamii zilishuka zaidi Hadi chini ya asilimia 10%
Ajira kwa kada za sayansi na ualimu zilishuka Hadi chini ya 35%
Ujenzi ulipanda kwa kasi zaidi ya Nyerere!

Wizi na uzembe serikalini vilikuwa chini ya 30%

Samia
Ajira kwa kada za kijamii zimeshuka Hadi chini ya 5%
Ajira kwa kada za sayansi na ualimu zimepanda Hadi kufikia chini ya 50%

Ujenzi umeshuka Hadi chini ya 50% ya Nyerere

Wizi na uzembe serikalini Ni 100%

TUKUMBUKE
Yafuatayo tungekuwa tunayashuhudia Sasa Kama awamu ya tano ingeendelea kuwepo madarakani
1. Sgr na Bwawa la Nyerere kukamilika na watanzania kuanza kula matunda

2, Huduma Bora za serikali kwa jamii

3. Upanuzi na uboreshaji zaidi kwa bandari zetu na ongezeko la mapato

4. Ajira na mishahara juu kutokana na utimilifu wa miradi mikubwa, uliyotutaka watanzania kufunga mikanda

5.Kujiuzulu kwa Mbowe na kufa kwa Chadema

6. Kufungwa na kupotezwa zaidi kwa wahuni wa Taifa walioitesa Tanzania kwa muda mrefu, na wasioweka mbele maslahi ya Taifa zaidi ya maslahi yao na familia zao!

RIP JPM
 
Kuhusu ajira na ujenzi wa Taifa Bora lenye miundombinu yenye tija kwa maendeleo,

Nyerere-
aliajiri wahitimu wote wa kada zote kwa 100%
Ujenzi kwa kasi ya juu

wahuni wa Taifa walioitesa Tanzania kwa muda mrefu!

RIP JPM
Akili fupi inaongelea mambo makubwa
 
JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl ilikuwa laki sita na unapewa hapohapo.

Mambo yalianzq kuwa magumu kipindi Cha jpm ajira zikawa ni kutafuta kwa tochi na kaanza group kubwa sana la vijana mtaani bila ajira kitu ambacho mama anahangaika kupambana nacho mana limeshakuwa tatizo. Alaaniwe jpm.
Kamlaumu yule mliyekuwa mnamuita baba yenu.

Pili idadi ya waliohitomu those days walikuwa wachache kuliko wanaohitimu Sasa hivi.

Mwisho Samia ndio ameajiri na ana ajiri watu wengi kushinda hata JK.eg Kuajiri zaidi ya watu 22,000 Kwa kada 2 tuu Kila mwaka sio mchezo.
 
Kamlaumu yule mliyekuwa mnamuita baba yenu.

Pili idadi ya waliohitomu those days walikuwa wachache kuliko wanaohitimu Sasa hivi.

Mwisho mahitaji yanazidi kupungua
Mipango dogo. Yule bwana alikuwa Hana mipango yoyote linalomjia kichwani lilikuwa hilohilo na aka make sure kwamba bunge ameliweka mfukaoaanai hakuna wa kumhoji hata angesema tumeingia uchumi wa kwanza duniani
 
Lakini Samia anaajiri sana pengine kushinda hata JK.

Mwaka huu tuu wa Fedha kabla ya June Kuna Ajira zaidi ya 15,000 walimu na watu wa Afya.

Saizi zimetangazwa kazi za mkataba Wizara ya Afya zaidi ya 500.
 
Jk alikuwa anaajiri zaidi ya elfu 40 walimu tu acha madatari
 
UDOM ilikuwepo?
Nadhani kuna watu bado wanaamini kuwa serikali inawanyima ajira makusudi , ila Kwa uwingi wa uzalishaji wa wahitimu kutoka vyuo vikuu na vya kati nadhani hii haiwezekani Kwa uchumi wa nchi yetu ,
 
Mi nimezungumzia ualimu na udaktari mengini ni kupoteza mda tu. Kuna uhitaji mkubwa sana wa walimu. Waliopo mashulrni hawatoshi angekuwa jk tayari wote walioko mtaani wangeaniriwa tena asingesubiri mrundikane mtaani. Yule bwana alikuwa very sympathetic and humble na alijua maisha halisi ya wanyonge siyo jpm neno wanyonge ilikuwa kuwahadaa tu
 
Lakini Samia anaajiri sana pengine kushinda hata JK.

Mwaka huu tuu wa Fedha kabla ya June Kuna Ajira zaidi ya 15,000 walimu na watu wa Afya.

Saizi zimetangazwa kazi za mkataba Wizara ya Afya zaidi ya 500.
Tafuta ratio ya jumla ya wahitimu na waajiriwa kipindi Cha JK na kipindi Cha Samia, utajua kuwa JK aliajiri 100% ya waalimu na Samia Ni chini yake.

Hata hivyo kuisifu Serikali kuajiri Kwa kada moja Ni kuisifia ujinga
 
Jk alikuwa anaajiri zaidi ya elfu 40 walimu tu acha madatari
Acha upunguani wako basi,tukipiga hizo hesabu Kwa miaka aliyokaa manake unasema Kulikuwa na walimu zaidi ya 400,000 wakati idadi ya walimu Tzn nzima haizidi 300,000.

Harafu Vyuo vipi vilikuwa vinazalisha idadi hiyo ya walimu? Tafuta mbumbumbu wenzako ndio uwe unawasimulia huo upuuzi.
Screenshot_20231214-081120.jpg
 
Tafuta ratio ya jumla ya wahitimu na waajiriwa kipindi Cha JK na kipindi Cha Samia, utajua kuwa JK aliajiri 100% ya waalimu na Samia Ni chini yake.

Hata hivyo kuisifu Serikali kuajiri Kwa kada moja Ni kuisifia ujinga
Sasa kama namba ya wahitimu ni kidogo by then Hadi kukawa na program za Special diploma etc ukitegemea wasiajiriwe wote au wengi?

Narudia kukwambia Samia anaajiri Kwa namba kubwa kushinda JK Kwa sababu kwanza wahitimu ni wengi na pia Mwendazake aliajiri wachache so gap ikawa kubwa.

Kwa taarifa Yako tuu Walimu waliopo Sasa ambao hawazidi 300,000 ni chini ya 50% ya mahitaji hasa Kwa shule za msingi.

Mimi Huwa naongea na takwimu sio porojo.
Screenshot_20231214-081120.jpg
 
Back
Top Bottom