Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

Naona kama mzee wa Msoga ndiye ameshikilia usukani kiana.
Sasa anashindwa nini kufanya kweli?.
 
Nchi ilikua kama takataka ,,nchi ilioza, majambazi watatu wananyang’anya polisi silaha , kila vituo ,, Kibiti ilimshinda, tanga mapango ya amboni,, kifupi ilikua n failed state afu unasema tungeendelea hivo hivo tz ingekua somalia
Unaweza uishi na hiyo ajira sehemu ambayo haina usalama??????

Yaliyoko msumbiji kumbuka ndio yalianzia kibiti??

We naona unafikri kwa kutumia matako si akili ama ulikua hujazaliwa!!
Jpm alimpaka matope tu hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom