Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wako tu. Mama hata hamshirikiehi jk kwa loloteNaona kama mzee wa Msoga ndiye ameshikilia usukani kiana.
Sasa anashindwa nini kufanya kweli?.
Jpm alimpaka matope tu hakuna kitu kama hicho.Nchi ilikua kama takataka ,,nchi ilioza, majambazi watatu wananyang’anya polisi silaha , kila vituo ,, Kibiti ilimshinda, tanga mapango ya amboni,, kifupi ilikua n failed state afu unasema tungeendelea hivo hivo tz ingekua somalia
Unaweza uishi na hiyo ajira sehemu ambayo haina usalama??????
Yaliyoko msumbiji kumbuka ndio yalianzia kibiti??
We naona unafikri kwa kutumia matako si akili ama ulikua hujazaliwa!!