Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 1

Kipindi cha Televisheni na Kumbukumbu Zangu za Udogoni za Soko la Kariakoo Part 1

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana.

Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo.

Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya biashara ya mtu mmoja anaitwa Manyanga na yeye kwa hasira ya kumwagiwa vitu vyake akampiga kichwa Boimanda akafa palepale.

Kisa hiki kikawa maarufu hadi zikatoka khanga na jina la Boimanda.


View: https://youtu.be/Ff-Uul2sy5o
 
Back
Top Bottom