Nimecheka sana baada ya kusoma hii posti na nikasema moyoni aliyepost atakuwa haijui Dar es Salaam. Bandari ya Dar es salaam ipo Temeke,Tazara ipo Temeke,Uwanja wa Taifa upo Temeke,CBE ipo Temeke,Veta ipo Temeke, Daraja la kigamboni lipo Temeke. Kumbuka tu kila sehemu wapo Matajiri na maskini na maskini ndiyo hufa zaidi.
Mvua ya octoba kinondoni 8 ilala 4.Maeneo athirika vingunguti, kigogo na kinondoni, Mwananyamala ,Kinondoni. Hata kikija kipindupindu jibu Ilala na Kinondoni hupigwa zaidi. Fikiri tena njoo upost