Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo watu wanaishi humo bandarini , Veta , uwanja wa taifa na CBE?
Mtu anakuja kuzungumzia maeneo wanayoishi watu wewe unaleta uwepo wa bandari na uwanja wa taifa. Una akili za kijinga sana.
Hivi unaweza kulinganisha Mbagala na Tegeta. Au Ununio na Tandika.
Nyie ndio mnajenga madaraja na matreni mnaacha watu hawana hata madawati darasani.
Ngoja ukiwa mkubwa utaelewa kwanini watu wanaishi maeneo yale. Sasa hivi bado hauwezi ukaelewa.Hata kama lakini ni haki ya kila mtu kuishi sehemu nzuri yenye mpangilio na sio bora sehemu tu...na ni kazi ya serikali kurekebisha na kuweka huduma zote sawa
Mkuu, hakika wewe unaijua vema sana Dar. Enzi za akina TMK Wanaume, Bosco Cool J, Ukumbi wa Emasco ni disco la kufa mtu, etcSijui mkuu ujanja unaouzungumzia wewe ni upi,Ujanja wa watu wa Dar huko ndiko ulikoanzia,Kariakoo,Temeke,Tandika,Ilala yote ndio kulikuwa na viwanja vya kujirusha vya hatari...
Wa Sea view nae anashangaa inakuaje unaenda kujenga Goba, wa Goba nae anamshamgaa wa mbagala, wa mbagala nae anamshangaa wa Tandale Popobawa, wa Tandale nae anamshangaa wa Tandika, na wa Tandika nae anamshangaa wa bonyokwa nae anamshamgaa wa Mwanamyama mchanga mweusi… ni mwendo wa kushangaa tuDar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.
Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k
Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Hapo chacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wa jf kwa kujikuta na maisha... So mtoa mada na wapambe wake mnataka watu wote wa temeke wahame wahamie kwenu au..?? Et watu wa temeke maskini bla bla.. matajir wana mda wa kuandika pumba kama hiizi
Ila hiyo makongo juu barabara yake ikiisha patapendeza Sana.Yaani mtu unatoka mkoani kwenye Hali ya hewa nzuri unakuja kuishi Tandika , Mbagala au Buza, matumizi mabaya ya nauli.
Njoo uishi Mbezi , Tegeta, Makongo juu, Bunju n.k sio huko uswekeni.
Siwez ishi wilaya ya temeke Mimi Bora nirudi mkoani Kuna Hali ya hewa nzuri.
Uwe unaelewa mada wewe zwazwa wapi tunaongelea utajiri na umasikini humu.Watu wa jf kwa kujikuta na maisha... So mtoa mada na wapambe wake mnataka watu wote wa temeke wahame wahamie kwenu au..?? Et watu wa temeke maskini bla bla.. matajir wana mda wa kuandika pumba kama hiizi
Yes makongo juu Safi sana. Hali ya hewa nzuri.Ila hiyo makongo juu barabara yake ikiisha patapendeza Sana.
Husisahau wilaya ya ubungo ndo kuna sinza,kimara,mbezi,changanyikeni,Makabe,mbezi Luis.
Kuna kibamba na kiluvya kuna majumba hatari
Rugemalila mwenyewe anakaa Makongo juu.Wa Sea view nae anashangaa inakuaje unaenda kujenga Goba, wa Goba nae anamshamgaa wa mbagala, wa mbagala nae anamshangaa wa Tandale Popobawa, wa Tandale nae anamshangaa wa Tandika, na wa Tandika nae anamshangaa wa bonyokwa nae anamshamgaa wa Mwanamyama mchanga mweusi… ni mwendo wa kushangaa tu
Sasa muwe mnakubali kuwa temeke ni uswekeni sio mnakuja kupiga kelele hapaKila mtu huishi kulingana na uwezo wa kipato chake
Mkuu unakaa maeneo gani hapa Dar?Yaani mtu unatoka mkoani kwenye Hali ya hewa nzuri unakuja kuishi Tandika , Mbagala au Buza, matumizi mabaya ya nauli.
Njoo uishi Mbezi , Tegeta, Makongo juu, Bunju n.k sio huko uswekeni.
Siwez ishi wilaya ya temeke Mimi Bora nirudi mkoani Kuna Hali ya hewa nzuri.
Rugemalila mwenyewe anakaa Makongo juu.
Raisi wa kongo mstaafu (Kabila) amejenga makongo juu.
Acha kulinganisha makongo juu na huo uchafu wa Tandika.
Shwaini.
Wewe utakuwa kula kulala!Sasa muwe mnakubali kuwa temeke ni uswekeni sio mnakuja kupiga kelele hapa
Sehemu zote ambazo ni unsurveyed ni mavi. Mbagala kuna sehemu na sehemu lkn Kwa ujumla ni maviDar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.
Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k
Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Mbagala ipi? Maana siyo yote. Historia inasema kuwa mbagala ni ya watu toka Lindi na Mtwara na wenyeji wazaramo. Kama unatoka Lindi na mtwara nawe ni wa hovyoNdio ndio mkuu wilaya ambazo zinatoa picha ya Dar ni kinondoni na ilala huko kwingine ni Upuuzi tu.
Mtu Yuko Tandika, Buza, Mbagala nk anajiita Yuko dar. Wewe uko Somalia maana hata mikoani Hakuna sehemu za ajabu Kama Tandika au Mbagala.
Jichanganye wilaya ya kinondoni au ilala mkuu kwanza Temeke hata kuweka familia huko inakuwa ya kiswahili. Unakaa na waswahili waswahili tu
Mbona unatumia tecno simu ya masikini kama wewe ni wa maanaYaani mtu unatoka mkoani kwenye Hali ya hewa nzuri unakuja kuishi Tandika , Mbagala au Buza, matumizi mabaya ya nauli.
Njoo uishi Mbezi , Tegeta, Makongo juu, Bunju n.k sio huko uswekeni.
Siwez ishi wilaya ya temeke Mimi Bora nirudi mkoani Kuna Hali ya hewa nzuri.