KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Buza Temeke
View attachment 1624593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha issue imekuwa kuwahi kufika kariakoo hahahaUlimbukeni unawatesa hawa wala chips mayai.
Yaani mtu anaetoka Kisemvule,Mbande au Chamazi ana uhakika wa kufika K/koo kuliko mtu anaetoka Magomeni kwenda K/koo kwa Kipindi hiki cha mvua.
Ni lazima atakwama tu Jangwani.,licha ya ukaribu.
Lkn alietoka Chamazi anafika kwa uhakika kabisa.
Ulimbukeni unawatesa wengi.
Kutokupangika kwa Dar kupo karibia asilimia 70.
Miundo mbinu,sasa hivi ukiingia ubungo terminal, utafikiri uko shamba la mpunga.
Afu bado mtu anajiona Mjanja kuwa Dar.
Kajieneo anakoishi ndo utacheka uchoke.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Tegeta.Dar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.
Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k
Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Anaishi kwa shemeji yake,nishaona hakuna sababu ya kubishana na watu wa dizaini yake,ni walewale tu.Mtoa maada ni mtoto sana, hakuna anachokijua
Ilala sehemu inaitwa mchikichini unapajua au unapasikiaDar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.
Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k
Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Hii ni Mbagala!Tegeta.
Bunju
Mbezi Beach
Mikocheni
Sinza
Kawe
Hivi na wewe unajisifia Uko Dar.
Hahahahhahahahahha....
Endelea kukaa na MKE wako hapo kibarazani miikaanga mihogo na kula chachandu wakati wenzenu wanakula mema ya nchi.
Toka huko uswekeni acha kulialia na kutia huruma.
Tunakaa uswahilini kwasababu Hakuna namna. Hakuna mtu anakaa Kwa Aziz Ally hatamani kuishi Mbweni au Mbezi beach labda uwe na kichaa.
Ilala sehemu inaitwa mchikichini unapajua au unapasikiaDar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.
Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k
Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Study za nyokoStudy zinaonesha mnaoishi huko Ushuani mnaongoza kwa kufa kwa msongo wa mawazo na mi shinikizo ya damu kuliko sie wa uswahilini
Maisha ni furaha ukiikosa hiyo hata uishi manhattan umeliwa
Kupitia hizo picha nionyeshe ulichokuwa unazumza,Hii ni Mbagala!
Sasa hapa una tofauti Gani na mtu alieko CHITOHOLI kwa wakina harmonize au Nanjilinji.
Yaani mtu unajikuta anaishi huku uswekeni anajiona Yuko Dar Es Salaam
Hamia hata Mji Mwema tukupe passport ya Dar huko mlipo ni nchi nyingine maana tukisema ni mikoani Hakuna mkoa wenye huo upuuzi. Naomba mjipe jina la mkoa wenu tumpelekee magufuli awape hadhi ya mkoa na muwe mnaingia Dar kwa passport.[emoji16]View attachment 1624613View attachment 1624614View attachment 1624615View attachment 1624617
Umesema kweli. Maeneo uliyoyasema hakna adha yoyote ya maji wala mitalo michafu. usafiri wa rahsi kutoka na kuingia kwao.Ulimbukeni unawatesa hawa wala chips mayai.
Yaani mtu anaetoka Kisemvule,Mbande au Chamazi ana uhakika wa kufika K/koo kuliko mtu anaetoka Magomeni kwenda K/koo kwa Kipindi hiki cha mvua.
Ni lazima atakwama tu Jangwani.,licha ya ukaribu.
Lkn alietoka Chamazi anafika kwa uhakika kabisa.
Ulimbukeni unawatesa wengi.
Kutokupangika kwa Dar kupo karibia asilimia 70.
Miundo mbinu,sasa hivi ukiingia ubungo terminal, utafikiri uko shamba la mpunga.
Afu bado mtu anajiona Mjanja kuwa Dar.
Kajieneo anakoishi ndo utacheka uchoke.
Kumbe qwewe mtu hovyo kabisa. Limbukeni wa kutupaStudy za nyoko
Study za nyoko
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa mbona unatabia zetu za ki Tandika za kutukana for nothing? Au ni mwenzetu wa Tandika Mbagala ila hujikubali?
🤣🤣🤣🤣🤣✔️🙌Endelea kukaa na MKE wako hapo kibarazani miikaanga mihogo na kula chachandu wakati wenzenu wanakula mema ya nchi.
Toka huko uswekeni acha kulialia na kutia huruma.
Tunakaa uswahilini kwasababu Hakuna namna. Hakuna mtu anakaa Kwa Aziz Ally hatamani kuishi Mbweni au Mbezi beach labda uwe na kichaa.