Hivi kwa Hali ya Dar kuna mahali kuna miundo mbinu the best kusema huku ndo hakuna tatizo la mafuriko,mitaro,barabara.nk?
Ni kweli kuna mahali hapo.?
Mbagala sijawahi shuhudia mafuriko,na ni marachache sana maji kutuama.
Zadi zaidi darajani, mto mzinga mara kadhaa hapo ndo palikuwa panasumbua sana, tofauti na sasa.
Mtoa mada unaongea kinyesi gani kufika Tandika sokoni basi ndo kote uliposema ww pako hivyo?
Mbagala huwezi kuta sijui chemba zimezibuka na maji ya vinyesi..
Zaidi ni miundombinu ya mitaro,unaeza kuta imeziba sehem kwa sehem ambayo ni tatizo Dar es salaam nzima.
Acha ufala Dar yote miundombinu ni poor.