Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hata kufanikiwa tu inakua kazi kama unaishi eneo ambalo watu wa eneo hilo maisha yao ni duniHaha mkazi wa Mbagala huyo, hapo anawaza kudandia Mabasi ya Eicher afike uswekeni kwake.
Wazee maeneo yanaakisi Sana welfare ya familia yako. Huwezi kukaa uswekeni uwe na familia yenye maadili. Kuna maeneo ukiiweka familia yako unakuwa na amani sio unaweka familia yako buguruni au tandika ndani ndani huko.
Ni vizuri kuishi kwenye maeneo yatakayokupa kiu ya kutafuta maendeleo zaidi kila siku sema ndio hivyo watu hawaelewi kabisa hii