Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Mkuu Kim Jong Jr hawa vijana wametoka mikoani wamefikia kwa mashemeji zao kwa hiyo hawajui sehem nzuri ndio maana wanaona kukaa na mitaro na takataka ni kawaida tu.
 
Hahaha watu unawaambia ukweli anakuwekea vituo vya afya na uwanja wa taifa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haya nenda kapangishe nyumba huko kituoni sasa
Haaaaaaaaaaaa
IMG_20201112_100734_737.JPG
 
Mikocheni near Morocco bus terminal ni wastaarabu Sana hawatupi taka kwenye mitaro. Nyambaf
IMG_20201112_121519.jpg
 
Jamani mbona kimya au mtoa Post kafa na mafuriko hapa Regent mikocheni.
IMG_20201112_121500.jpg
 
IMG_20200320_131908.jpg

Mitaro ya maji machafu chini juu mtu anakula utumbo wa kuku safi kabisa huku miguu ikiwa kwenye maji machafu...wakaazi
wa Mbagala mjitambulishe kuwa mko nje ya Dar mana hata mikoani barabara zina nafuu. Badala mlalamike ili mjengewe mmeridhika na hali hiyo. Hatari sa a
 
View attachment 1624756

Acha utoto,Wewe ni mkazi wa mbagala tena umepanga,unachokifanya wewe ni ulimbukeni,wanao zunguka zunguka mikocheni wakirudi mbagala wanawasimulia watoto wenzao kuwa wametoka mjini, ndio wewe sasa unachokifanya hapa,kuona Mbezi,tegeta ni ushuani,wakati hakupitiki ni shida mvua zikinyesha ,chemba na mitaro inatoa vinyesi.
Ushahidi upo juu Woote.
Poor wewe ni mshamba.
 
Attachments

  • Screenshot_20201112-135709_Chrome.jpg
    Screenshot_20201112-135709_Chrome.jpg
    64.6 KB · Views: 1
Nimecheka sana baada ya kusoma hii posti na nikasema moyoni aliyepost atakuwa haijui Dar es Salaam. Bandari ya Dar es salaam ipo Temeke, Tazara ipo Temeke, Uwanja wa Taifa upo Temeke, CBE ipo Temeke, Veta ipo Temeke, Daraja la kigamboni lipo Temeke. Kumbuka tu kila sehemu wapo Matajiri na maskini na maskini ndiyo hufa zaidi.

Mvua ya octoba kinondoni 8 ilala 4.Maeneo athirika vingunguti, kigogo na kinondoni, Mwananyamala ,Kinondoni. Hata kikija kipindupindu jibu Ilala na Kinondoni hupigwa zaidi. Fikiri tena njoo upost
Halafu hajui tu kuwa wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa majengo ya ghorofa bora ya Wapemba
 
Kwahiyo watu wanaishi humo bandarini , Veta , uwanja wa taifa na CBE?

Mtu anakuja kuzungumzia maeneo wanayoishi watu wewe unaleta uwepo wa bandari na uwanja wa taifa. Una akili za kijinga sana.

Hivi unaweza kulinganisha Mbagala na Tegeta. Au Ununio na Tandika.

Nyie ndio mnajenga madaraja na matreni mnaacha watu hawana hata madawati darasani.
Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,

wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!

jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!

kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
 
Bora umesema wewe
 
Back
Top Bottom