Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Tatizo la watu waliohamia Dar wakajiona wenyeji hivi buguruni ipo wilaya gani , manzese ipo wilaya gani, tandale, mwananyamala halafu kuna ile kinondoni ipo nyuma ya chentemba bar zote ukienda ni kichefuchefu.
 
Hivi mkuu CBE unayoongelea hapa ni kile kile chuo kilichopo akiba au??

F Y I kuwepo na vitu hivyo havifanyi temeke iwe bora maana hizo sehemu ni chache sana ukilinganisha na matatizo yaliyopo eneo husika

Sema maoni yako yanaashiria kama vile nawe ni mmoja wao yani u mkazi wa mbagala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unakujua Namtumbo wewe?
 
Hivi kwa Hali ya Dar kuna mahali kuna miundo mbinu the best kusema huku ndo hakuna tatizo la mafuriko,mitaro,barabara.nk?
Ni kweli kuna mahali hapo.?

Mbagala sijawahi shuhudia mafuriko,na ni marachache sana maji kutuama.
Zadi zaidi darajani, mto mzinga mara kadhaa hapo ndo palikuwa panasumbua sana, tofauti na sasa.
Mtoa mada unaongea kinyesi gani kufika Tandika sokoni basi ndo kote uliposema ww pako hivyo?
Mbagala huwezi kuta sijui chemba zimezibuka na maji ya vinyesi..
Zaidi ni miundombinu ya mitaro,unaeza kuta imeziba sehem kwa sehem ambayo ni tatizo Dar es salaam nzima.
Acha ufala Dar yote miundombinu ni poor.
 
Tembea Dar uijue vzr kuna maeneo Temeke iko vzr kuliko hata ununio na Tegeta.Nenda Kijichi,Tuangoma ,Mgeni nani.Tandika ni mji Mkongwe Toka Uhuru,usifananishe na Tegeta imejengwa juzi

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Akili za buza mwisho wa lami wanasema wanaishi airport,ha ha haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui mkuu ujanja unaouzungumzia wewe ni upi,Ujanja wa watu wa Dar huko ndiko ulikoanzia,Kariakoo,Temeke,Tandika,Ilala yote ndio kulikuwa na viwanja vya kujirusha vya hatari...
Eti ujanja ulianzia huko , hivi unazijua club Kama yatch zilianzia lini hapa Tanzania. Mababu kwa Mababu Ni wananja hapo Yatch club watu wanaenda kuruka majoka Europe kitambo.

Huo ujanja wa buza kula vichwa vya kuku ndio ujanja.[emoji16]
 
Akili za buza mwisho wa lami wanasema wanaishi airport,ha ha haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uswekeni huko.

Kusema kweli siwez kuishi eneo lilio congested hata iwe ulaya siwezi.

Uko Mbagala unakuta nyuma moja wanaishi watu 20 hapo choo na bafu Ni kimoja. Sasa si Bora nikaishi hata mikoani. Sijawahi kushuhudia hayo maisha ya kifukara.
 
Tembea Dar uijue vzr kuna maeneo Temeke iko vzr kuliko hata ununio na Tegeta.Nenda Kijichi,Tuangoma ,Mgeni nani.Tandika ni mji Mkongwe Toka Uhuru,usifananishe na Tegeta imejengwa juzi

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Tuangoma hawakai wapuuzi wenye njaa.

Sijasema temeke Hakuna maeneo mazuri ila asilimia kubwa ya temeke ni mji uliodumaa.
 
Tatizo la watu waliohamia Dar wakajiona wenyeji hivi buguruni ipo wilaya gani , manzese ipo wilaya gani, tandale, mwananyamala halafu kuna ile kinondoni ipo nyuma ya chentemba bar zote ukienda ni kichefuchefu.
Kijana acha kutaja maeneo ya uswekeni huko. Nimekwambia tafuta eneo Bora wilaya ya kinondoni you'll thank me later.

Aridhi ya kinondoni hata thamani Yake Ni kubwa.

Endelea kuandaa familia na ukoo wako kuja kuishi kifukara huko mbeleni kwa kuendelea kukaa Uswekeni.

You'll end up dying poor
 
Haha mkazi wa Mbagala huyo, hapo anawaza kudandia Mabasi ya Eicher afike uswekeni kwake.

Wazee maeneo yanaakisi Sana welfare ya familia yako. Huwezi kukaa uswekeni uwe na familia yenye maadili. Kuna maeneo ukiiweka familia yako unakuwa na amani sio unaweka familia yako buguruni au tandika ndani ndani huko.
 
Sijui mkuu ujanja unaouzungumzia wewe ni upi,Ujanja wa watu wa Dar huko ndiko ulikoanzia,Kariakoo,Temeke,Tandika,Ilala yote ndio kulikuwa na viwanja vya kujirusha vya hatari...
Hizo ni zikipendwa.

Nazungumzia ujanja wa sasa hivi. Haiwezekani mtu kila mwezi Yuko zake state na exposure za kutosha halafu mtu Yuko uswekeni akitoka mbagala anaishia buguruni useme eti huyu ndio mjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…