Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Tatizo kufika huko unako sema pameendelea yaani kutokea city centre ee! banaeee!, mziki wake ni mbaya hasa kipindi cha Mvua unakatisha kwenye Daraja unasikia km watu wanaongea kumbe maji. hata waliojenga hiyo miji mizuri ya TMK na kuipendezesha wametokea Kinondoni na Ilala.Asisahau kutembelea kwa mpalange mkuu.
Wana stand yao nyingine pembezoni mwa barabara pale maeneo ya sudan, yani kituo wala hakieleweki ila mtu bado anakomaa tu kwenye uzi anasifia kuwa temeke kuna magorofa, sasa kama wameshindwa kujenga kituo cha mabasi hayo magorofa wataweza wapi kuyajenga??Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,
wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!
jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!
kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
Hii siyo posta ni Temeke .sasa jiulize uliyoandika ni sahihi.Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,
wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!
jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!
kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
Wenyewe hawakuelewi Kama usivyowaelewaHuwa siwaelewi watu wanaoishi wilaya ya temeje[emoji2][emoji2]
Fanya uwahamishe mpendwa..kelele zote za NiniYaani mtu unatoka mkoani kwenye Hali ya hewa nzuri unakuja kuishi Tandika , Mbagala au Buza, matumizi mabaya ya nauli.
Njoo uishi Mbezi , Tegeta, Makongo juu, Bunju n.k sio huko uswekeni.
Siwez ishi wilaya ya temeke Mimi Bora nirudi mkoani Kuna Hali ya hewa nzuri.
Karibu.Fanya uwahamishe mpendwa..kelele zote za Nini
Kwahiyo mkuu hapo mr discount na sofia house ndio magorofa mnayotambia temeke??Manispaa ya TemekeView attachment 1624870
Teee! tee! Mleta Mada Sofia House hii ! iko karibu na waridi za Ilala, mpaka ilibidi uwe mbele ya Taifa, looote hili ni eneo la viwanda tatizo je hizi hela za walipa majengo kwa nini haziwaendeleziii wa TMK? Na wamilki Mijengo wote wametokea Ilala na Kinondoni, wana tumia hela walizo chuma tmk wilayani Kinondoni Oyster Bay, hata waliopanga kwenye hizi ofisi wana kaa Ilala . haf mna chagua ccmHii siyo posta ni Temeke .sasa jiulize uliyoandika ni sahihi. View attachment 1624858
Nyaru-sare unapozungumzia miundombinu mfano stend,Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,
wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!
jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!
kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
Naunga mkonoNyaru-sare unapozungumzia miundombinu mfano stend,
Ubungo bus terminal iliyokuwa inaingiza na kutoa mabasi mikoa yote ilikuwa hali mbaya.
Mashimo mashimo,uchafu,usimamizi mbovu n.k
Ilikuwa ktk hali mbaya na mbovu ya kutia aibu.
Vitega uchumi na mapato yalikuwa yanae da wapi?
Upigaji uko kila mahali.
Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!
Ilikuwa ni saa kumi na robo alfajiri ya leo, mlio wa simu yangu unanikurupusha toka usingizini, nakumbuka nina appointment ya kumfuata bibi yangu nyumbani alikokuwa amefikia na kumpeleka Ubungo bus terminal tayari kwa safari ya kurudi Kondoa. Ile naingia pale getini tu, nikapigwa na butwaa...www.jamiiforums.com
Ndo kwanza awamu hii ya serikali ikaiona hilo na kuachana nayo kujenga nyingine.
Afu na wewe unaingia mkenge wa hii mada,niambie stendi ipi ni nzuri na bora ambayo haina changamoto km hizo za mbagala?
Ushaenda stend ya kigamboni ferry?
Na nyingine nyingi?
Ushaingia stendi ya Tegeta nyuki?
Mbona mnaongea nonsense
Miundo mbinu kimsingi kwa dar nzima baaado sana.
Msilete upuuzi.
Stend nzuri angalau ni za kuhesabu,Chache mno.
Simu 2000,
Makumbusho nayo sasa ni hovyo.
Ukigusia swala la miundo mbinu ni pana sana,tena sio la kuchekana.
Kila mahali kunachangamoto mbalimbali za kimiundo mbinu,kila awamu wanajitahidi kupunguza kwa awamu,
Mfano usafiri wa kugombania na stendi.
Sasa kuna mradi wa mwendokasi Mbagala.
Kwa hivyo Dar hakuna sehemu ambayo iko salama na mwanana kwa Miundombinu.
Waambie hao mafala uwanja wa maonesho ya kimataifa yan 77 upo tmk,kiwanda cha bia tmk serenget,Nimecheka sana baada ya kusoma hii posti na nikasema moyoni aliyepost atakuwa haijui Dar es Salaam. Bandari ya Dar es salaam ipo Temeke, Tazara ipo Temeke, Uwanja wa Taifa upo Temeke, CBE ipo Temeke, Veta ipo Temeke, Daraja la kigamboni lipo Temeke. Kumbuka tu kila sehemu wapo Matajiri na maskini na maskini ndiyo hufa zaidi.
Mvua ya octoba kinondoni 8 ilala 4.Maeneo athirika vingunguti, kigogo na kinondoni, Mwananyamala ,Kinondoni. Hata kikija kipindupindu jibu Ilala na Kinondoni hupigwa zaidi. Fikiri tena njoo upost
Majimatitu poa!!Dar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.
Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k
Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Wewe mtoto wa kishua unakujua hata Temeke kwenyewe au unatuchora tu.watu wa Temeke tumeyapokea matusi yako . Bado tunasubiri na zamu ya wa mkoani ifike maana wengi wetu huku ni wanaume wa mkoani pia
Halafu kuna wastaafu wengi sana wanaishi Keko, Tandika, Mbagala n.k, halafu unakuta ni watu wa Mikoani! Hivi hawawi board kweli?Kweli kabisa mkuu lakini utadhani Temeke haiko Dar kabisa ilivyosahaulika
Ila daa!! Jamani Mbagala mmetudharau sana.Ndio ndio mkuu wilaya ambazo zinatoa picha ya Dar ni kinondoni na ilala huko kwingine ni Upuuzi tu.
Mtu Yuko Tandika, Buza, Mbagala nk anajiita Yuko dar. Wewe uko Somalia maana hata mikoani Hakuna sehemu za ajabu Kama Tandika au Mbagala.
Jichanganye wilaya ya kinondoni au ilala mkuu kwanza Temeke hata kuweka familia huko inakuwa ya kiswahili. Unakaa na waswahili waswahili tu
Halafu baba mwenye nyumba kuli wa Bandari! Patamu hapo!!Uswekeni huko.
Kusema kweli siwez kuishi eneo lilio congested hata iwe ulaya siwezi.
Uko Mbagala unakuta nyuma moja wanaishi watu 20 hapo choo na bafu Ni kimoja. Sasa si Bora nikaishi hata mikoani. Sijawahi kushuhudia hayo maisha ya kifukara.
Si umeona mwenyewe temeke ndio waliona wafanyie maonyesho ya wakulima japo sasa wamefanya ya biasharaWaambie hao mafala uwanja wa maonesho ya kimataifa yan 77 upo tmk,kiwanda cha bia tmk serenget,