Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

Asisahau kutembelea kwa mpalange mkuu.
Tatizo kufika huko unako sema pameendelea yaani kutokea city centre ee! banaeee!, mziki wake ni mbaya hasa kipindi cha Mvua unakatisha kwenye Daraja unasikia km watu wanaongea kumbe maji. hata waliojenga hiyo miji mizuri ya TMK na kuipendezesha wametokea Kinondoni na Ilala.

Tatizo maskini vibaka wengi wanawaibia Mali zao. km huko mgeni nani ndiyo maana ya jina hili. wkt unajenga wanaiba matofali, ukiezeka wanashusha mabati usiku.
 
Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,

wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!

jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!

kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
Wana stand yao nyingine pembezoni mwa barabara pale maeneo ya sudan, yani kituo wala hakieleweki ila mtu bado anakomaa tu kwenye uzi anasifia kuwa temeke kuna magorofa, sasa kama wameshindwa kujenga kituo cha mabasi hayo magorofa wataweza wapi kuyajenga??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,

wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!

jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!

kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
Hii siyo posta ni Temeke .sasa jiulize uliyoandika ni sahihi.
IMG_20201112_135846.jpg
 
Yaani mtu unatoka mkoani kwenye Hali ya hewa nzuri unakuja kuishi Tandika , Mbagala au Buza, matumizi mabaya ya nauli.

Njoo uishi Mbezi , Tegeta, Makongo juu, Bunju n.k sio huko uswekeni.

Siwez ishi wilaya ya temeke Mimi Bora nirudi mkoani Kuna Hali ya hewa nzuri.
Fanya uwahamishe mpendwa..kelele zote za Nini
 
Una akili fupi sana. Unajaza mapicha ambayo hayana msaada kwa wana temeke. Nikikwambia hayo maghorofa yanakusaidia nini zaidi ya kuyaona ukiwa umesimama kwenye zile Daladala za EICHER huna lingine unalojua.

Umeanza kuketa ushabiki badala ya facts. Tukisema tutishiane majengo hivi temeke utailinganisha na wilaya ya ilala na kinondoni kweli.

Nimekwambia tangu awali jikite kwenye maisha ya watu. Kwanini temeke maisha ni duni compared na wilaya zingine. Wewe unaleta picha za uwanja wa taifa, veta na majengo ya uhasibu.
 
Hii siyo posta ni Temeke .sasa jiulize uliyoandika ni sahihi. View attachment 1624858
Teee! tee! Mleta Mada Sofia House hii ! iko karibu na waridi za Ilala, mpaka ilibidi uwe mbele ya Taifa, looote hili ni eneo la viwanda tatizo je hizi hela za walipa majengo kwa nini haziwaendeleziii wa TMK? Na wamilki Mijengo wote wametokea Ilala na Kinondoni, wana tumia hela walizo chuma tmk wilayani Kinondoni Oyster Bay, hata waliopanga kwenye hizi ofisi wana kaa Ilala . haf mna chagua ccm

Viongozi wote na Ma-Rais wote Duniani km Obama, Bush, wanakaribishwa kulala, kula, kujifurahisha Kinondoni na Ilala, sometimes Arusha. wakitoka, Sabasaba, Taifa stadium tu safari Ilala, Kinondoni. hivi kuna five star Hotel kweli TMK?

Hata wasanii wa Kidunia na injili wa TMK hawataki kukaa huko labda Juma nature tu!! na wakiendekeza kukaa TMk watakufa kimuziki kikawaida sana na hawatanyanyuka, uongo? Afande sele alikuwa ana shinda paleee! kilima nyege anuse tu harufu ya Masaki!

Angalia Makanisa ya kilokole yanayorindima Jijini na yenye Afya na sadaka kubwa/ ni Kinondoni, Ilala. yaani wenyeji wa tmk wengi mnasali Kinondoni huko mnatoa zaka na sadaka. chunguza!!

Wachungaji wa kinondoni shavu dodo, hata serikali inawaogopa, lkn wa TMK km Gamanywa wamekondaa!!! waumini hawana kitu. wenye kitu wanaenda Kinondoni.
 
Mleta mada ana maana kuwa pamoja na kuwa na vitega uchumi Bora sana nchini na vingi vya kuingiza mapato makubwa ya Taifa,

wakaazi wa huko TMK yaani wanaoishi huko richa ya kuwa maskini wa akili na vipato hawana miundo mbinu mwanana, kama ya wilaya nyingine nchini Mbali na za Bongo, halafu wameridhika hata wafanyakazi, mameneja wa hiyo miradi hawaishi TMK.
mfano; Musoma Mjini ni pazuri hata kwa kupatizama tu, na kuishi kuliko wilaya ya Temeke!

jiulize hizo hela za mapato vinavyotokana na miundo mbinu iliyoko wilayani kwao, zinaenda wapi? Oooh! Wadenge na makonde wabishi, yaani kupuuza Mikoa yao ya kusini kumeanzia Dar!! kipindi kile cha mlipuko wa Mabomu jeshini angalia Ilala walivoenziwa, kwa misaada na pole nyingi, Radio zote nchini zilihamia huko, Madaktari walilipwa vizuri kulinganisha na Mbagala!! Mahema ya Umeme, walikuwa wanapewa Burger kila siku!

kitambo sana hata Stand nzuri ya kwenda kusini Mtwara hakuna, kako palee Mbagala Zakhem! Kana jooto! na walipora kiwanja cha Mtu, mwenyewe kaja juu sasa kinarudishwa kwa mmiliki Serikali haijali.
Nyaru-sare unapozungumzia miundombinu mfano stend,
Ubungo bus terminal iliyokuwa inaingiza na kutoa mabasi mikoa yote ilikuwa hali mbaya.
Mashimo mashimo,uchafu,usimamizi mbovu n.k
Ilikuwa ktk hali mbaya na mbovu ya kutia aibu.
Vitega uchumi na mapato yalikuwa yanae da wapi?
Upigaji uko kila mahali.

Ndo kwanza awamu hii ya serikali ikaiona hilo na kuachana nayo kujenga nyingine.

Afu na wewe unaingia mkenge wa hii mada,niambie stendi ipi ni nzuri na bora ambayo haina changamoto km hizo za mbagala?
Ushaenda stend ya kigamboni ferry?
Na nyingine nyingi?
Ushaingia stendi ya Tegeta nyuki?
Mbona mnaongea nonsense

Miundo mbinu kimsingi kwa dar nzima baaado sana.
Msilete upuuzi.
Stend nzuri angalau ni za kuhesabu,Chache mno.

Simu 2000,
Makumbusho nayo sasa ni hovyo.

Ukigusia swala la miundo mbinu ni pana sana,tena sio la kuchekana.
Kila mahali kunachangamoto mbalimbali za kimiundo mbinu,kila awamu wanajitahidi kupunguza kwa awamu,
Mfano usafiri wa kugombania na stendi.
Sasa kuna mradi wa mwendokasi Mbagala.
Kwa hivyo Dar hakuna sehemu ambayo iko salama na mwanana kwa Miundombinu.
 
Naunga mkono
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Nimecheka sana baada ya kusoma hii posti na nikasema moyoni aliyepost atakuwa haijui Dar es Salaam. Bandari ya Dar es salaam ipo Temeke, Tazara ipo Temeke, Uwanja wa Taifa upo Temeke, CBE ipo Temeke, Veta ipo Temeke, Daraja la kigamboni lipo Temeke. Kumbuka tu kila sehemu wapo Matajiri na maskini na maskini ndiyo hufa zaidi.

Mvua ya octoba kinondoni 8 ilala 4.Maeneo athirika vingunguti, kigogo na kinondoni, Mwananyamala ,Kinondoni. Hata kikija kipindupindu jibu Ilala na Kinondoni hupigwa zaidi. Fikiri tena njoo upost
Waambie hao mafala uwanja wa maonesho ya kimataifa yan 77 upo tmk,kiwanda cha bia tmk serenget,
 
Dar ni wilaya ya Kinondoni na Ilala tu huko kwingine hauna tofauti na mtu alieko Namtumbo tu sema wanajiita wako Dar.

Njoo uishi zako Tegeta, Bunju, Goba, Mbezi , Madale , Makongo juu , Chuo kikuu ( changanyikeni) n.k

Huwa nashangaa mtu anaenda kununua kiwanja Mbagala hahaha.
Majimatitu poa!!
 
watu wa Temeke tumeyapokea matusi yako . Bado tunasubiri na zamu ya wa mkoani ifike maana wengi wetu huku ni wanaume wa mkoani pia
Wewe mtoto wa kishua unakujua hata Temeke kwenyewe au unatuchora tu.

[emoji12][emoji12]
 
Temeke Ndiyo Kila Kitu, Mambo Mengine Kawaida Sana
 
Ndio ndio mkuu wilaya ambazo zinatoa picha ya Dar ni kinondoni na ilala huko kwingine ni Upuuzi tu.

Mtu Yuko Tandika, Buza, Mbagala nk anajiita Yuko dar. Wewe uko Somalia maana hata mikoani Hakuna sehemu za ajabu Kama Tandika au Mbagala.

Jichanganye wilaya ya kinondoni au ilala mkuu kwanza Temeke hata kuweka familia huko inakuwa ya kiswahili. Unakaa na waswahili waswahili tu
Ila daa!! Jamani Mbagala mmetudharau sana.
 
Uswekeni huko.

Kusema kweli siwez kuishi eneo lilio congested hata iwe ulaya siwezi.

Uko Mbagala unakuta nyuma moja wanaishi watu 20 hapo choo na bafu Ni kimoja. Sasa si Bora nikaishi hata mikoani. Sijawahi kushuhudia hayo maisha ya kifukara.
Halafu baba mwenye nyumba kuli wa Bandari! Patamu hapo!!
 
Waambie hao mafala uwanja wa maonesho ya kimataifa yan 77 upo tmk,kiwanda cha bia tmk serenget,
Si umeona mwenyewe temeke ndio waliona wafanyie maonyesho ya wakulima japo sasa wamefanya ya biashara
Ila ilala ndio kuna JK Nyerere International aiport Dar es salaam, yani hufiki ulaya kama hujaburuza mabegi yako pale

TBL pia iko ilala

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom