Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 272
Kiswahili Lugha ya taifa
Kiswahili Lugha ya taifa
Ni kweli kabisa, ila mara nyingi alikuwa akijiita Bill Omala (R.I.P). Ahsante kwa taarifa sikuwa na habari za kifo chake.Sio Ben Omala (marehemu sasa)
Kipindi cha Kombora,mchezo wa redio na Jungu kuu
Kibuku na Mzee Jangala na kundi lake....pamoja na Pwagu na pwaguzi...(RT-Dar es salaam)
Kipindi cha jambo! Kilikuwa kinarushwa na RTD muda wa asubuhi kuanzia saa 2
Tumbuizo Asilia na Myco Katembo. Mungu amlaze panapo pema peponi
Jumapili usiku.Mkulima wa kisasa, wananchi tujifunzeni ushirika, Tumshukuru Mungu wetu.
Mi Nakumbuka Kipindi Cha Hongera RTD kilikuwa mida ya mchana wakati ndo narudi shule nikiwa STD 1,2 hivi. Nmechoka jua kali njaa ya kutosha nmechafuka ile mbaya.. Nikifika 2 ndani friji liko wapi nipooze rejeta.
Kipindi cha pili kilikuwa Love and Dedication Zone kilikuwa kinaendeshwa na John Dilinga (DJ JD) alipokuwa 101.4fm. Nakumbuka nilikuwa O'level tym hizo ndo nilikuwa napiga msuli taratibu. Kipindi kikiisha naenda zangu kulala.
Dah! Long tym yaani..
Wewe unakumbuka kipindi kipi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mikingamo....kilikuwa kinalipua wala rushwa,wadokozi, na mafisadi wa enzi zile za 'chama kushika hatamu'.