Club La Leo Show-RTD....ilikuwa premiere session ya nyimbo mpya za bendi zetu za nyumbani.
Sent from Kwetu Uswazi
umeniteka mkuu,nilikuwa sibanduki kwenye mkulima wetu home,pwagu na pwaguzi bila kusahau kipindi cha ugua pole kila jumapili
Club La Leo Show-RTD....ilikuwa premiere session ya nyimbo mpya za bendi zetu za nyumbani.
Sent from Kwetu Uswazi
Mchezo wa redio hasa ule wa akina Jangala yaani we acha tu!
Kiatu
Mzee Mundu
Mshamu (jangala alikuwa akiita 'Nsamu')
Mzee Kagunga
Kumbe wewe wa juzi tu!!! Mi nilifikiri unatukumbusha enzi zile mwanzoni mwa miaka ya 80 au kati-kati ya miaka ya 70. Yaani DJJD unayemsema ameanza utangazaji na UDJ juzi tu.... wewe vipi?? Ungetukumbusha vipindi kama vile "kijaluba' kilichokuwa kinatangazwa na Abdallah Mlawa au Mikingamo kilichokuwa kikitangazwa na Juma Ngalawa ama Ahmed Kipozi (enzi zile za uhujumu uchumi). Na vingine vingi tu...... Pole sana kijana wangu (mtoto), kwa kuvifikiria vipindi vya juzijuzi tu wewe unadhani imekuwa "long time'?